Goodnight Messages

Nice words for beautiful ladies, duh! nimezikubali hizi......ila kwa sisi wengine tusiokuwa na pakuzituma hizi, ni full maumivu na mateso bila chuki tu hapa.

Thanks for the complement DSpecial. Usihofu Mungu atakupa wako kwa wakati wake. Na utapata nicest words toka kwake.
 
ivi mkitaka kulala ndo mnakua wazungu,ebu tupieni za kiswahili
"ulale mnono,njoz njema"
purely Tanzanian na imethibitishwa na TUKI,BAKITA na TBS
 
mie huwa naogopa
kudanganya/kudanyanywa na vijineno vitamuvitamu, hupendelea zaidi
kuyageuza maneno kwa vitendo pale inapowezekana, otherwise kama nia ni
kumtakia mtu usiku mwema basi be simple, mwambie tu ulale salama, usiku
mwema, a.k.a good night na mambo kama hayo. hayo mashairi kabla ya
kulala tene mmh ni hekaya za abunuwasi, wengine huwa wanatuma hivyo
vimeseji wakisaidiea maneno na mahawara zao wa usiku wao wamelala
wamekumbatiana wanakutumia wewe vimashairi vya kukulaza usingizi ili wao
waanze kazi ya kungonoana... loh binadamu hatuaminiki ni wanafiki
kuliko lusifer

hahaaaa,
 
najua unatafuata namna tofauti ya kudanganya orodha ndefu ya wadada ulionao, sabu ungekuwa na mmoja usingehangaika kuuliza aina tofauti ya sms, ungetuuliza mikakati ya kufanikiwa kimaisha na kama hujaoa namna ya kummke mwema maishani.

hmmmmm.
 
Politicians are everywhere,they promise to build a bridge even where there is no river,,Have a nice sleep and take care of our love
 
I always think of you, but I always fail to know the reason why. Is there something else I should know about you.. But there is one thing that I know is true. That life will always be sad without you..

Sweet dreams!
 
ivi mkitaka kulala ndo mnakua wazungu,ebu tupieni za kiswahili
"ulale mnono,njoz njema"
purely Tanzanian na imethibitishwa na TUKI,BAKITA na TBS

Kithuuungu ndio kinapendezaga kwa utapeli.... yaani kinakoleagaje ubongoni, maneno yake hayafutikiii na yanatekenya haswa unaingia kingi unajiachiaaaaa unapgwa changa la macho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom