AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,083
Dah nimeshituka sana aisee alinitumia na kitenge cha Wax toka Kigoma wajameni.....
Hata siwezi kuandika nimepata shock kubwa mno aisee
Pole saaana Dena... Ni kumuomba tu Mungu...
Dah nimeshituka sana aisee alinitumia na kitenge cha Wax toka Kigoma wajameni.....
Hata siwezi kuandika nimepata shock kubwa mno aisee
Ushapata njia ya kutoa rambirambi? tujuze....Dadangu Moderators wameificha thread kule kwenye Msiba wa Zanzibar, sijui wamehusianisha vipi haya matukio mawili, so members wengi wameshindwa kuiona ile thread kwa sababu imefichwa kule.....pengine Moderators hawajapenda wazo lile? to me it was better wangeidelete tu kuliko kuipeleka kusikohusika......!
Most likely sababu ya kifo ni medical malpractice za waganga wa kibongo, "mipango ya Mungu haina makosa" my foot. Tutafute jinsi ya kupunguza hivi vifo vya wazazi Tanzania, imani za "mipango ya Mungu" hazitufikishi popote, na kwa kuanzia, mahakama zianze kutambua na kutoa civil damages kwa medical malpractice na negligence nyinginezo kwa wingi mpaka wahudumu wa afya watie akili.Mipango ya Mungu haina makosa...... Nilitaka kujua sababu ya kifo chake.
are you sure about this??? kabla ya kusema hivyo fanya research ya kutosha ili usije ukalaumu vitu ambavyo sivyo. in any case kama ni kweli then i pity medical profession and ningeomba Mungu awapasue wahusika kwa radi au dunia ipasuke iwameze wazimawazima. Pili iwapo hoja hii ni ya kweli basi ninaomba sisi tulio makazini tufanye kazi zetu kwa wito, kwa kujituma na kujitolea. hii tabia ya kuwa kazini kwa madhumuni ya hela ikome manake kwa kiasi kikubwa pia tunachangia vifoi either directly or indirectly. Naomba mwenyezi Mungu anijalie roho ya unyenyekevu katika utendaji wangu wa kazi ili mshahara uwe mafanikio ya kazi na sio ni upe kipaumbele. anijalie rehema ya kuwajali watu na kuwatumika maana bila wao ni singekuepo.Most likely sababu ya kifo ni medical malpractice za waganga wa kibongo, "mipango ya Mungu haina makosa" my foot. Tutafute jinsi ya kupunguza hivi vifo vya wazazi Tanzania, imani za "mipango ya Mungu" hazitufikishi popote, na kwa kuanzia, mahakama zianze kutambua na kutoa civil damages kwa medical malpractice na negligence nyinginezo kwa wingi mpaka wahudumu wa afya watie akili.
Thread ya msiba imewekwa jukwaa la mapenzi!