Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,102
144,562
Ameandika hivi kupitia Twitter:

Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda mrefu ndio solution

Lema.PNG
 
Hapa Lema ana point ya msingi, wajumuishe mpango was Wafanyakazi wote, maana hali zao baada ya kustaafu zinakuwa mbaya sana ukizingatia asili ya kazi zao kuwa Ni za kuhama Hama bila makazi ya kudumu kipindi Chao chote cha kazi.
 
One of the big problems of this country is that, the lntelligent people have only forums to express their views and ideas,whereas the less intelligent, have both, forums as well as power and mandate to implement their ideas even if those ideas are sometimes useless/meaningless

Refer issue ya kutuma ndege Madagascar kufuata kilichoitwa tiba ya covid as example.
 
Back
Top Bottom