Godbless Lema kaza moyo, wewe ni Mandela wa Tanzania

Ni ujinga kwa MTU mwenye akili timamu kushabikia upuuzi wa LEMA huku ukifananisha kufungwa kwake kuwa sawa na MANDELA. Tusidanganyane kwenye ukweli tuseme ukweli. kufanya siasa sio lazima uwe maarufu kama umaarufu alikua anautafuta lema. Mbona SUGU ni mpinzani lakini anaongea hoja bila vioja na anakubalika sana watu wa mbeya. Tusilewe na siasa tumwambie ukweli. Kuwa mpinzan sio lazima kuwa na vihoja.
 
....
....Mungu aliwaumba watu.wengine kwa maksudi....Moyo wake utakuwa radi...radi..ipasuwayo miamba....na kuacha tetemeko...na nyufa...zenye kujaza bahari
.....
......viva Lema
 
Ni nchini Tanzania pekee ambapo siasa ni uadui ,yaani ukiwa mpinzani basi hii ni tiketi ya kuwa adui wa serikali.

Hata radi na ngurumo huisha sembuse serikali iliyo chini ya mwanadamu ambae hajui lini anapotea.
Point of correction , hata kwa baadhi ya nchi za Kiafrika kuwa mpinzani kutengeneza uadui wa serikali. Hakuna tofauti ya kimahusiano kati ya serikali na wapinzani kwa hapa Tanzania, Burundi hata Congo upuuzi unaofanywa na wenye mamlaka dhidi ya vyama pinzani ni ule ule.
 
Lema anapigania haki za watanzania wote bila kujali rangi,kabila wala dini ya mtu
Haki zipi? maana duniani kuna HAKI, WAJIBU, MAJUKUMU na SHERIA huwezi kutafuta haki kwa kuvunja sheria bali unaweza kutimiza wajibu kwa kuvunja sheria

Je WAJIBU wa Mbuge unaruhusu Lema kufanya hayo anayofanya ?

Je HAKI ya wana Arusha kwa kumchagua Lema kama kiongozi wao kwa kuwaletea maendeleo Lema anatimiza haki hiyo kwa wana Arusha mjini?

Je SHERIA za nchi zinaruhusu Lema kufanya hayo anayofanya?

Je Lema anatekeleza MAJUKUMU yake kwa wana Arusha mjini kama mbunge?
 
Lema ni mtetezi wa haki za watanzania wote
Kila mbunge anadai hivyo,kwaiyo hata yule diwai aliefunhwa morogoro kwann msiseme ni mandela pia maana nae ni mtetez??

Lema yupo mahabusu kama nabii,japo anaonewa ila kumfananisha na mandela sio fair

Ila nawashangaa pia wana arusha nilidhan wajanja kumbe bure kabisa mbunge wenu anateseka nyie mnakazana kujipa moyo kwa kumuita mandela

Ingekuwa mbeya kilishanukA KITAMBO sana
 
Kila mbunge anadai hivyo,kwaiyo hata yule diwai aliefunhwa morogoro kwann msiseme ni mandela pia maana nae ni mtetez??

Lema yupo mahabusu kama nabii,japo anaonewa ila kumfananisha na mandela sio fair

Ila nawashangaa pia wana arusha nilidhan wajanja kumbe bure kabisa mbunge wenu anateseka nyie mnakazana kujipa moyo kwa kumuita mandela

Ingekuwa mbeya kilishanukA KITAMBO sana
Lema ni Mandela wa tanzania
 
Wewe na huyo mfungwa mnaupungufu wa akili. Na ndiyo maana Dj anatafutwa kwa kuuza sembe. Na huyu mnafiki akitoka tu lazima aunganishwe na kesi ya dona. Mpaka sasa no upinzani kwa CCM.
Wewe unachoweza ni kuuza utu wako
 
Lema anapigania haki za watanzania wote bila kujali rangi,kabila wala dini ya mtu
Lema anapigania tumbo lake na familia yake..... Na wewe uliyeandika hii thread nadhani unatokea Kitunda...... Pole sana kwa sababu tunajua kule bado mko kwenye ujima. Ndo sababu hata post yako imefanana hivyo hivyo.... Tafuta kwanza uhuru wa nyumbani kwako.
 
Mungu akusaidie lema

wewe ..lissu..mnyika..halima...peneza...esther...na zitto ni wanasiasa wasio na mawaaa na tunaowategemea sana.

Mungu akupe nguvu...you are fighting the right war .....
 
Back
Top Bottom