Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

Na je mmeshapeleleza kama hao walalmikaji wana mali zisizohamishika ili kesi ikiisha tukamate mali zao kufidia gharama za kuendesha kesi alizoingia Lema? nadhani hii ndiyo njia sahihi ya kuwakomesha machakubimbi.

Wengine siwajui, lakini Musa Mkanga ni rahisi, tunampa notisi ahame ile nyumba yake tunainadi akishindwa kulipa gharama za kesi, ukizingatia Lema ni Mwakilishi wa wananchi, badala ya kuwatumikia wananchi Mkhanga alimsababishia kuja mahakamani bila sababu za msingi.
 
Mkuu, jana nilipita mahala nikakuta watu wanakunywa Konyagi, mimi nilikuwa nakunywa soda ya passion, nikaathiriwa na harufu ya ile konyagi, nadhani imenipa maluweluwe hadi leo kudadadeki!

Mkuu mi nadhani tatizo haliko kwako, bali Mtaalamu wa kisiasa na kisheria aliyekupa hiyo habari alikupa wakati ameshakunywa konyagi au bange!
 
Mkuu mi nadhani tatizo haliko kwako, bali Mtaalamu wa kisiasa na kisheria aliyekupa hiyo habari alikupa wakati ameshakunywa konyagi au bange!
Na kama Mtaalam mwenyewe wa sheria ni Pasco Mayalla hapo unategemea kupata ushauri gani? katika kesi zote za uchaguzi kesi ambayo hata asiyejuwa sheria anafahamu kwamba uchaguzi ulikuwa na dosari nyingi za wazi na ni lazima matokeo yake yatenguliwe kwa sababu ni batili ni jimbo la Segerea peke yake.
 
Ukinikumbusha Pasco inabidi nicheke sana. Huyu jamaa kwa kuwalamba miguu matajiri anatisha!
 
Kamwe huwezi kuwa komando kwa mazoezi ya mgambo.ccm ni mgambo wanataka kumbeep komando(cdm) waache wauchokoze moto majibu watayapata
 
wajaribu waone! litakuwa ni anguko rasmi kwa hawa mafisadi, wazandiki, majambazi wa demokrasia si kwa arusha tu! ni nchi nzima,
 
ccm wasuhangaike..........hii safari imeanzia musoma.........tunaelekea magogoni

musoma, tunaitaka serengeti,
tayari karatu tunayo, mbule tunayo, arusha tunayo,
arumeru tunayo, hapo kati hai kwa mbowe tumechukua, moshi mjini yetu, sasa tunaitaka vunjo, mwanga, same, korogwe, chalinze, kibaha............then tunaunga na ubungo tayari yetu, then tunachukua kinondoni............safari moko hiyo kuelekea magogoni 2015!!!

bado monduli nayo lazima tuitekee tena nahisi kabla ya 2015
 
Kama wana ubavu watengue hata leo waangukie pua tena! Hata wamsimamishe Mkapa na chalii wa miaka 18 tuna uhakika wa kuwagarazagaraza tena!
 
Na kama Mtaalam mwenyewe wa sheria ni Pasco Mayalla hapo unategemea kupata ushauri gani? katika kesi zote za uchaguzi kesi ambayo hata asiyejuwa sheria anafahamu kwamba uchaguzi ulikuwa na dosari nyingi za wazi na ni lazima matokeo yake yatenguliwe kwa sababu ni batili ni jimbo la Segerea peke yake.
Mkuu, sio Segerea tu hata Karagwe, Sumbawanga mjini, Songea, Shinyanga mjini nk.
 
Tusubiri tuone upuuzi wao MAGAMBA watakavyochemka na kujutia maamuzi yao,CDM ndio mtetezi wa wanyonge na chama mbadala...M4C
 
Hakiyanani nakuapia wakileta uchaguzi mwingi godbless atashinda si kwa asilimia 60 kama uchaguzi uliopita bali atashinda kwa asilimia 99.9%

chonde ccm !!! Chonde serikali yetu tukufu msituletee mauaji tena arusha
kama ya umeya maana wananchi wa arusha bado wana hasira , nasema tena tanzania tunataka amani please please please please please please please please please please please please please please please please please please please please please please
 
Mkuu si afadhali ya Mheshimiwa Lema je umeona CV ya Mheshimiwa Joseph Lusinde wa CCM??????
Hebu cheki CV yake hapa chini

EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE

Source: Bunge

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency
2010
2015

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary

Source Bunge website

Nimejiuliza kwa watu kama hawa tutafika kweli

Hahhahahahahaha.... kwa hiyo baada ya primary moja kwa moja CCM College Ihemi (certificate) hahahahah du ndo maana domo lake chafu eh
 
Hahhahahahahaha.... kwa hiyo baada ya primary moja kwa moja CCM College Ihemi (certificate) hahahahah du ndo maana domo lake chafu eh

kudadadeki,niwalambe nisiwalambe,hivi mtu akizaliwa ktk ndege atakuwa raia wa ndege? ,hapanaaaaaa acheni ushamba nyie,ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ,oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
kwa issue kama hiyo mi nadhani ccm wamekosa pa kushika coz inajulikana kuwa km kweli mahakama ikitengua ubunge wa lema wala chadema hawahitaji kupiga kampeni tena ni kusubiri tu siku ya uchaguzi na kurudisha kiti hicho kwa chadema tena ,kama ni lugha chafu kweny kampeni mbona zinatumika sana na sijaona tume ikikemea au kuchukua hatua zidi ya wahusika? lakini kwa angalizo tu ndugu wana jf hali hizi zinaweza kutupeleka kubaya na hasa umwagaji wa damu coz ni kweli watu wamechoka na upumbavu wa serikali
 
Back
Top Bottom