Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Kwa aina ya gwaride walilochezeshwa ccm huko arumeru hawawezi kuthubutu kutia maguu arusha mjini.
Nachodhani kama walikuwa na mpango wa kutengua ushindi wa Lema ni kwa matarajio kwamba wangeshinda arumeru.
Lakini kutokana na kushindwa kuhimili vishindo vya arumeru hawawezi kuthubutu kutamani kwenda arusha mjini, kwakuwa kufanya hivyo watadhalilika sana na hiyo itaijenga sana chadema.