Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

Awekwe ndani mpaka stimu ya bangi itakapo isha kichwabi
Acha ushabiki wa kike wewe,Toka juzi watu wanalalama hapa hujuma tume inayofanya hapo arusha unajitoa ufahamu
Lema na kinana nani tapeli nchi hii?
Lema na sitta nani tapeli nchi hii
Lema na nape nani tapeli?
 
Mpenda HAKI, Kamanda LEMA kashindwa kuvumilia UHUNI unaofanywa na CCM wakishirikiana na NEC.


Hakika naamini maneno ya Mh Lema hakuna dhambi kubwa kama UOGA.
 
Moderator wa Jamiiforums acheni double standard, LOWASSA anashinda akitukanwa hapa kutwa kucha, lakina hatujaona Post yetote kuhusu Lowassa ikufutwa, lakini naona sasa baadhi ya comment kuhusu LEMA kuswekwa rumande zimeanza kufutwa, hii inamaanisha nini? Acheni hizo, LEMA ni Jizi tu, linafaa kufungwa mpaka January mwakani.
 
Last edited by a moderator:
Chama tawal hakiwezi kuondoka kirahisi. Lazima damu imwagike kama baadhi ya nchi walivyomwaga damu kuuondoa ukoloni
toa sababu za kumwaga damu. Historia ya nchi yetu inatuffundishaje kuhusu harakati za kisiasa? Wao ccm walimwaga damu? ifanye akili yako ifikiri tofauti but positively. Chama chochote kitakachoshinda kitakabidhiwa nchi kwa amani na si vinginevyo. Ni imani yangu kuwa ccm watakuwa walijifunza kutoka Malawi, Zambia na Kenya ambapo mabadiliko ya vyama vingine kushinda chaguzi vyama vilivyokuwa vinatawala havikusababisha umwagaji damu bali waliwakabidhi nchi walioshinda kwa amani.Na vivyo hivyo hapa kwetu itakuwa the same.
 
Tutapambana kudai haki yetu ya kujiandikisha no matter what..

Tunatoa rai kamanda wetu aachiwe mara moja bila masharti.
 
mbona polis wameanza mtiti mapema namna hii au magari ya kuwasha yameshaingia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom