Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

Acha ushabiki wa kike wewe,Toka juzi watu wanalalama hapa hujuma tume inayofanya hapo arusha unajitoa ufahamu
Lema na kinana nani tapeli nchi hii?
Lema na sitta nani tapeli nchi hii
Lema na nape nani tapeli?

Effort will not counter faithe...


 
10995498_680834902061228_4576595660357240357_n.jpg
 
toa sababu za kumwaga damu. Historia ya nchi yetu inatuffundishaje kuhusu harakati za kisiasa? Wao ccm walimwaga damu? ifanye akili yako ifikiri tofauti but positively. Chama chochote kitakachoshinda kitakabidhiwa nchi kwa amani na si vinginevyo. Ni imani yangu kuwa ccm watakuwa walijifunza kutoka Malawi, Zambia na Kenya ambapo mabadiliko ya vyama vingine kushinda chaguzi vyama vilivyokuwa vinatawala havikusababisha umwagaji damu bali waliwakabidhi nchi walioshinda kwa amani.Na vivyo hivyo hapa kwetu itakuwa the same.

CCM sio kama hao wa Malawi,Zambia au Kenya. Hujawahi kusikia slogan yao? Eti CCM itatawala daima!
 
Kama daftari limeanza kuhujumiwa basi hata uchaguzi hauta kua huru na haki .

TUTAFAKARI KAMA WATANZANIA AMANI YA TAIFA HILI NI YETO SOTE.

Tuilinde kwa kuepuka hujuma mapema kabla haijawa taifa la wamwaga damu.

Wapo wengi wanaodhani kupewa dhamana ya kutuongoza ni ufalme kwao. Bila kujua wakati wa kifalme hauna nafasi tena kwenye dunia ya leo. !!!!!!!!!!!!!!.........
 
Hawa polisi wanahangaika bure na kamanda Lema
UONEVU UNA MWISHO WAKE
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Zaidi ya baadhi ya wanywa banana wa Arusha nani anamjua Lema nje ya Arusha.

Arusha ccm mlishindwa kwa sababu wanywa banana walimchagua Lema?ccm Arusha mmebakia wapinzani mwaka hatoambulia hata.diwani 1
 
Hata mimi nashauri Lema awekwe ndani mpaka uandikishaji uishe.anapenda sana fujo sijuwi anavuta bangi huyu.lema anaharibu sifa ya chadema Arusha.
 
Mungu tusaidie watanzania. . tubadirike wote tuichukie. .ccm mwaka huu wanavyo. Tumia mbinu chafu kuwa bana wapinzani mmh haya mungu walaani wote wenye nia mbaya na wapenzani wafe kwa presha wote kabla ya uchaguzi October amen
 
Ndio waziri wa mambo ya ndani mtarajiwa pumbafuuu zake yan yeye ana la maana analofanya zaid ya fujo ili watu wamwone ni mzalendo arushaa badilikeni mji ukue achanenii na huyu mwehu
 
Hivi huko poteee BVR walikopita Hakuna matatizo Kama Arusha?

Je, huko kote walikokwisha pita Hakuna wabunge? na Kama wapo kwanini hawakuingilia pale utaratibu ulipovurugwa?

Kwanini litokee Arusha tuu? kwanini ahusishwe Lema tuu,? Na ni stahiki kwa mbunge kwenda kusimamia uandikiswaji wa wapiga kura wakati Tume Ndo ilio na mamlaka ya kuratibu....


My take, Kama anachokifanya Lema ni sahihi...nalaani kitendo cha polisi...ila Kama ni ukurupukaji wa Lema wacha wampige tuu..
 
Back
Top Bottom