Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,479
Hapa unajaribu kutumia ujinga wa watu wachache kuhusu Mungu ( yaani hasa Mungu ni nani?) kujumuisha watu wote wenye imani ya Mungu. Kwa maneno mengine kuwapo kwa watu wanaoamini kuwapo kwa mungu bila kujua hasa huyo Mungu ni nani hakuondoi ukweli kwamba kuna Mungu. Kutumia hoja hii ni sawa na kusema kwamba Tanzania haina raisi kwa sababu tu kuna watu ambao bado wanaamini kuwa Nyerere ni raisi wa Tanzania. ( It is a totally flawed argument).
First off, ninapoongelea mungu ninayempinga naongelea the personal god, one you can pray to and who can listen to your prayers, one that is concerned with petty human affairs, like a school soccer match, enough to intervene, one that can work supernatural miracles, the Judeo-Christian god of the Bible and Quran.
Nikikwambia kwamba OK, kuwapo kwa watu wanaoamini kwamba kuna mungu bila kujua hasa mungu ni nani hakuondoi uwezekano wa mungu kuwepo.
Huwezi kuniambia kwamba unajua kwamba kuna mungu, wakati definition ya mungu huyu ni kwamba hajulikaniki kwa akili za kibinadamu, hujui kama kuna mungu, unaamini tu. Na kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuamini. Mimi sitaki kuamini, nataka kujua. Kuamini unaweza kuamini chochote, kujua ukweli ni kumoja tu.
Lakini vile vile, kuwapo kwa watu wanaoamini kwamba kuna mungu bila kujua hasa mungu ni nani hakuondoi uwezekano wa mungu kutokuwepo. Imani si msingi wa kitu kuwepo, ingekuwa hivyo mimi ningeamini tu kwamba nina midola trillioni trillioni trillioni kwenye benki za Kiswizi, matatizo yangu ya kifedha yote yakaisha.
Kuna watu kibao wanaamini kwamba kuna mtu anaitwa Santa Claus anakaa North Pole na anakuja wakati wa Krismasi kuwapa zawadi watoto, lakini hili halimfanyi huyu Santa Claus kuwa mtu wa kweli.
Kuna watu kibao wanaamini kwamba dunia si mviringo, wanaamini kwamba dunia iko flat, mpaka leo ona hapa . Does this make the earth flat ?
Unatakiwa kutuonyesha kitu zaidi ya imani, kwa sababu kama imani tu inatosha kufanya kitu kuwa kweli, vipi kama imani mbili zinapingana? Wewe unaamini kuna mungu, mimi siamini hivyo, ukweli utakuwaje hapo ?
Welcome to the Flat Earth Wiki, otherwise known as The FEW. This website is dedicated to unraveling the true mysteries of the universe and demonstrating that the earth is flat and that Round Earth doctrine is little more than an elaborate hoax.
Much of the experimental evidence for a Flat Earth is provided by Dr. Samuel Birley Rowbotham, a 19th century lecturer who traveled the isles of Britian giving lectures at many prominent universities of the day. His experimental evidence is very easily reproducible and requires only access to a long body of standing water and a little trig to conclude that water is not convex, that the surface of the earth does not curve as Round Earth doctrine mathematically predicts. Other experiments require only a stick and a plumb line. Each of the experiments are described in full in the Flat Earth Literature.
Throughout the years it has become a duty of each Flat Earth Society member, to meet the common Round Earther in the open, avowed, and unyielding rebellion; to declare that his reign of error and confusion is over; and that henceforth, like a falling dynasty, he must shrink and disappear, leaving the throne and the kingdom of science and philosophy to those awakening intellects whose numbers are constantly increasing, and whose march is rapid and irresistible. The soldiers of truth and reason of the Flat Earth Society have drawn the sword, and ere another generation has been educated and grown to maturity, will have forced the usurpers to abdicate. Like the decayed and crumbling trees of an ancient forest, rent and shattered by wind and storm, the hypothetical philosophies, which have hitherto cumbered the civilized world, are unable to resist the elements of experimental and logical criticism; and sooner or later must succumb to their assaults. The axe is uplifted for a final stroke - it is about to fall upon the primitive sphere of the earth, and the blow will surely "cut the cumberer down!"