..gloove back time..

Lol......asante sana dear. Fanyeni mpango basi fastaaa nije,hizi njemba mbili ziko wapi zinatuchelewesha bana
ila leo tusiteguane viuno tu, maana muhimbili kimenuka!! karibu uji wa kungu, najituliza nao huku nikimuombea dr ULI, lolest!
 
ila leo tusiteguane viuno tu, maana muhimbili kimenuka!! karibu uji wa kungu, najituliza nao huku nikimuombea dr ULI, lolest!

Hahahahah nafwaaaaaaaaaaa...........kwakweli leo ni mwendo wa taratibuuuuuuu huku tunamuombea mpendwa wetu Dr Ulimboka usihofu
 
Mi nina hamu ya kuburudika na kitu cha "GOMBESUGU" kama huna hicho Dj mtu chake basi nipigie kitu cha "BAI KOKO" niburudike na wanachitchat wenzangu hapa ndani... Maana mi naishi mto Ruvuma chini kwenye kina kirefu nakuja huku mara chache..
 
Last edited by a moderator:
...Yeah Yeah..kama kawa..ngoma zinaendelea kudondoshwa na wewe endelea kuchagua
 
Hahahahah nafwaaaaaaaaaaa...........kwakweli leo ni mwendo wa taratibuuuuuuu huku tunamuombea mpendwa wetu Dr Ulimboka usihofu
best Yummy upo?? leo nina hasira sana! nahisi naweza kumpiga mtu hapa ofisini! mzima weye?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom