Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Kwa kiswahili tunasema Dunia kama kijiji.. Neno hili limekuwa msemo sababau ya Internet na TEKNOHAMA. Mfano Leo hii unaweza
Sijui wadau mna maoni gani kuhusu dunia yetu kama kijiji imeleta changamoto, mabadiliko, maendeleo na matatizo gani hasa kwa Tanzania
Binafsi najuliza kwa nn tunshindwa ku loby kampuni fulani za US au UK zifungue japo call center ya africa au east africa hapa Tanzania. Lugha yetu ni kingereza call center haiziitaji utaalamu sana au wasomi. Mshara wa wataolipwa watanzania japo unawe auwa mzuri au wa wastani utaokoa gharam nyingi za hao mabepari tofauti na wanavyowalipa wahindi au wafilipino. Kifupi operation cost ya call center tanzania inaweza kuwa nafuu kulio hata india. Waht should we do??????
Karibu tujadiliane wadau Dunia kama kijiji
- "kutembelea " yard ya magari liyopo japan au Dubai hku ukiwa kinondoni tabora au kanyigo. kwenye kompyuta
- Kusikiliza lecturer ya mkufuzi wa havard au MIT juuya mda mbali mbali. Siku hizi ukija kusikiliza habari za kimataifa za vitup vyetu vya kama ITV au TBC zinakuwa si habari mpaya tena sababu umeshaziona kwenye net na forum kama jf
- Kuchat in real time. kutuma email na mtu wa mbali na kupata majibu kwa haraka
- kazi- Kuna kmpuni za marekani ulaya kupunguza gharama za undeshaji unakuta vitenngo fulane eg call center viko nchi kama india. Lakini mteja anapopga simu au kuomba msaada hajui mtu anayemsaidia yuko wapi .
- Unaweza kuwa dar ukafanya mapenzi au kutongoza online na mtu yuko mbali teh teh teh teh teh teh
…….Today, the term "Global Village" is mostly used as a metaphor to describe the Internet and World Wide Web.[SUP][citation needed][/SUP] On the Internet, physical distance is even less of a hindrance to the real-time communicative activities of people, and therefore social spheres are greatly expanded by the openness of the web and the ease at which people can search for online communities and interact with others that share the same interests and concerns.