Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 397
- 993
Stendi ya Daladala Mawasiliano taa hazifanyi kazi, yaani haziwaki, na ali hii imekuwa ikitokea mara kadhaa majira ya usiku na hivyo kusababisha mazingira hatarisha hasa kwa usalama wa abiria na raia wanaosubiri huduma ya usafiri pamoja na Wafanyabiashara wa maeneo haya.
Mamlaka shughulikieni suala hili, kituo hiki kipo mjini, mazingira ya umeme kukatika haileti picha nzuri na ni aibu kwa viongozi wanaohisika.
Mnataka mpaka matukio ya kukabwa yashamiri ndio mshtuke?
Mamlaka shughulikieni suala hili, kituo hiki kipo mjini, mazingira ya umeme kukatika haileti picha nzuri na ni aibu kwa viongozi wanaohisika.
Mnataka mpaka matukio ya kukabwa yashamiri ndio mshtuke?