Nilikuwa safarini kuja tukuyu,abiria akaniambia segerea wana siku ya pili hawana umeme,nimeingia hapa tukuyu ni giza totoro! Bahati nzuri nna simu ya kitochi.Nadhani nchi imefilisiwa,njiani wananchi wengi wanaishi nyumba za hali ya chini na sidhani kama wanajua kinachoendelea.nawahabarisha