Gilrs talk...strictly not för men.

napita tu jamani am not her ! Ila ngoja niache ujumbe. Wahaya tuna msemo uko hivi "enju tefunda shana emitima niyo efunda" maana yake ni kwamba nyumba huwa haibani kama nguo ila roho zetu ndo zinabana. Nyumba waweza kuishi na mtu yeyote yule sema roho zetu ndo hazitaki. Vile vile huwezi kumbadilisha mtu aishi kama wewe unavotaka ila huwa tunajaribu kum-turn ili awe kama watu wengine.
 
naomba kupingana na wewe, mimi nina rafiki yangu wa muda mrefu, years back niliishi nae kwa muda kama miaka mitatu and tunafanya nae kazi kwa sasa in the same office na kwa sasa kapata chumba next door!! and we actually cook together and do many things together.Nadhani cha muhimu ni kuheshimu each other's feelings and privacy whenever possible.We all have tabia tofauti tofauti but when you learn to live with other people and accept to be corrected whenever you make a mistake and learn from it, you will be able to maintain your girlfriends!!!!! Kwahiyo ni possible kuishi na rafiki wa kike bila tatizo lolote,Nawakilisha:dance:
 
sijasema kuwa ulichoongea hakiwezekani,
hebu soma vizuri utanielewa nilichoongea.
btw,wewe ni dada au kaka?
 
Ni kweli Cheusimangala uliyosema mie nakubaliana nayo..
Ni afadhari ndugu wanagombana na mwisho wa siku wanaishia kupatana
lakini ogopa mabest friend wakikosana ..moto wake hauzimiki labda kwa kudra za mwenyezi mungu
 
Cheusimangala umenifurahisha sana ulipomjibu Mtu Mmoja, hakika nimejufunza kitu. keep it up.

back to topic
ni bora kuepuka tatizo kuliko kulitafuta
 
Nadhani inakataa kwa sababu ya ubaguzi wako wa Kijinsia kwa topic ambayo haijakaa kibaguzi . . . LOL

CM . . . Acha hizo bana!

sometimes girls need their own space away from you men,
ubaguz mwingine ni natural
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom