Gharama za Mgomo wa Madaktari

Petu Hapa

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
714
55
Je kuna kuna data zozote ambazo tunaweza kupata kujua gharama na athari za mgomo ni kubwa kiasi gani. Nadhani imefika wakati tunahitaji kuanza kuongea na viongozi wetu kwa namba, na kuwashitaki na uhalisia wa madhara wanayosababisha. Labda tuanze kujua majibu ya maswali haya

1. Je namba ya vifo toka mgomo uanze ni ngapi? na inatofauti gani na vipindi vya nyuma?

2. Wagonjwa wangapi wanahudhuria hospitali kwa siku? na namba hii inatofauti gani na ya awali?

3. Wangojwa wangapi wanatibiwa kwa siku? na namba hii inatofutiana kiasi gani na watu walikuwa wanapata tiba kabla ya mgomo?

4. Mapato ni shilingi ngapi kwa siku toka mgomo huu uanze? na mapato hayo yanapishana vipi na mapato ya kila siku kabla ya mgomo kuanza?

5. Watoa huduma za chakula na vinywaji, madereva taxi na pia wenye maduka mauzo yao kwa siku yamepata athari zipi?

6. Je hospital and zahanati za karibu wanamaongezeko ya wagonjwa? na madhara yake nini?
 
kitengo cha dharura, wagonjwa wamepungua kutoka 80 - 100 kwa siku hadi 25 kwa siku taarifa kutoka kwa Meneja wa kitengo, Dr. Siland Optatus imeripotiwa na Tanzania Daima

Je nini nini athari za punguo hilo kipesa na kiafya?
 
Idadi ya vifo toka mgomo kuanza: Hospitali ya Rufaa mbeya 22, Bugando mwanza 25, temeke 19, amana 15, mwanyamala 20, muhimbili 57, Uwazi Ukurasa wa 2, trh 31.

Ingawa taarifa hizo hazisemi ni vifo vingapi kwa siku na ongezeko la vifo hivo nikiasi gani toka mgomo kuanza. Kwahiyo inakuwa vigumu kuelewa umuhimu wa namba hizo
 
Mkuu hoja yako in msingi, ofcoz huu mgomo una madhara makubwa coz wanaotibiwa kwenye hospital zilizogoma ndio maskini

ambao kundi kubwa zaidi apa nchini. Maana yangu ni hii, serikali kwa kuacha madaktari wagome kwa kiwango hicho na mamia ya

watu kufia nje ya wodi za hospitali bila huduma ni ushahi kuwa serikali haitupendi na haitujali raia wake. Kama wana lugha nzuri

kupinga hilo waseme. Najua wengine wamo ndani ya majamvi humu.

Inauma kuona darasa la saba yuko bungeni anapata 330,000/= per day halafu daktari ambae amekaa shule miaka ishirini anapata ela

ambayo haiwezi kumudu familia na anafanya kazi ngumu sio ile ya kusinzia na kuja*** tu bungeni.....
 
kitengo cha dharura Muhimbili, wagonjwa wamepungua kutoka 80 - 100 kwa siku hadi 25 kwa siku taarifa kutoka kwa Meneja wa kitengo, Dr. Siland Optatus imeripotiwa na Tanzania Daima

Je nini nini athari za punguo hilo kipesa na kiafya?

Kitengo cha dharura Muhimbili, 60 hadi 70 kwa siku lakini sasa ni wagojwa 10 tu - Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa MNH, Aminiel Algaesha, Nipashe 31st Jan, 2012
 
Idadi ya vifo toka mgomo kuanza: Hospitali ya Rufaa mbeya 22, Bugando mwanza 25, temeke 19, amana 15, mwanyamala 20, muhimbili 57, Uwazi Ukurasa wa 2, trh 31.

Ingawa taarifa hizo hazisemi ni vifo vingapi kwa siku na ongezeko la vifo hivo nikiasi gani toka mgomo kuanza. Kwahiyo inakuwa vigumu kuelewa umuhimu wa namba hizo

Vifo 10 muhimbili siku ya 30 January, 2012 lakini vifo vilishidwa kuthibitishwa na madaktari na hivyo wagonjwa kuendelea kubaki wodini, Bwana Magesa, Mwenyekiti wa Wauguzi Muhimbili, Nipashe 31st, 2011
 
Je kuna kuna data zozote ambazo tunaweza kupata kujua gharama na athari za mgomo ni kubwa kiasi gani. Nadhani imefika wakati tunahitaji kuanza kuongea na viongozi wetu kwa namba, na kuwashitaki na uhalisia wa madhara wanayosababisha. Labda tuanze kujua majibu ya maswali haya

1. Je namba ya vifo toka mgomo uanze ni ngapi? na inatofauti gani na vipindi vya nyuma?

2. Wagonjwa wangapi wanahudhuria hospitali kwa siku? na namba hii inatofauti gani na ya awali?

3. Wangojwa wangapi wanatibiwa kwa siku? na namba hii inatofutiana kiasi gani na watu walikuwa wanapata tiba kabla ya mgomo?

4. Mapato ni shilingi ngapi kwa siku toka mgomo huu uanze? na mapato hayo yanapishana vipi na mapato ya kila siku kabla ya mgomo kuanza?

5. Watoa huduma za chakula na vinywaji, madereva taxi na pia wenye maduka mauzo yao kwa siku yamepata athari zipi?

6. Je hospital and zahanati za karibu wanamaongezeko ya wagonjwa? na madhara yake nini?

so what!
 
numbers is power my friend! you don't talk with abstraction analysis of loss - rather factual which speak beyond governance issues to tell lives and financial implications. When a loss is treated as a blanket critique, we are loosing touch with factual reality. When you start speaking of death rate increase from 20 people per day to 40 per day due to strike that should be a criminal case against the state. If you are speaking on the decline of daily income from 4 million to 2 million - that loss of revenue could be avoided. When shopkeeper, taxi driver and mamalishe loose income where is the dream of maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana? Statistical make the problem more visible and allow us to see actually this not about doctors itself is about people loosing lives - this much a day
 
Back
Top Bottom