Gharama za kutoa gari bandarini

Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
2,199
2,507
Habari zenu wadau

Ninaitaji kufahamu jumla ya gharama za kutoa gari bandarini, aina ya Nissan X trail ya mwaka 2007.

Ina 1990cc.
CIF price Ni USD 6361.
 
ANDAA KIASI CHA TRA=8,500,000/= PLUS SHIPPING LINE COST 350,000/= AGENT FEE 300,000/=
Note: shipping line charge zinaweza kuwa chini ya hapo
 
nchi hii inanishangaza sana gari umemunua nje unalipia bima usafiri eti unatozwa kodi pamoja na bima na usafiri
 
ANDAA KIASI CHA TRA=8,500,000/= PLUS SHIPPING LINE COST 350,000/= AGENT FEE 300,000/=
Note: shipping line charge zinaweza kuwa chini ya hapo

Shukran mkuu

Lakini ingekuwa vizuri zaidi kama ungetuwekea kanuni ya kupata hiyo mil 8.5
 
Habari zenu wadau

Ninaitaji kufahamu jumla ya gharama za kutoa gari bandarini, aina ya Nissan X trail ya mwaka 2007.

Ina 1990cc.
CIF price Ni USD 6361.

Nenda page ya TRA kuna excel sheet ina kila kitu. Wana bei ya kila gari likiwa mpya. Unaingiza mwaka wa gari, bei ya gari husika na diprisiesheni factor kwa asilimia. Then unapata cost zote in USD. Ukiingiza exchange rate ya siku husika utapata on Tshs. Hiyo CIF yako haina lolote kwenye calculations zao
 
Kwenye hizo gharama ulizompatia NDAMANDOO hujamuwekea Port charges hapo ambayo inawezafika 500,000/
 
Last edited by a moderator:
Anayejua pia hummer ya 2006 ushuru ni Kama ngapi? Gari nishaitumia sio mpya nataka tu Ije Tz?
 
Kwa anayejua,nimeagiza Rav 4 ACA21 ya mwaka 2002,2000cc.Nitatakiwa kulipa kiasi gani mpaka niwe barabarani?
 
Nenda page ya TRA kuna excel sheet ina kila kitu. Wana bei ya kila gari likiwa mpya. Unaingiza mwaka wa gari, bei ya gari husika na diprisiesheni factor kwa asilimia. Then unapata cost zote in USD. Ukiingiza exchange rate ya siku husika utapata on Tshs. Hiyo CIF yako haina lolote kwenye calculations zao

Ikitokea CIF ni kubwa kuliko hiyo ya TRA, basi hiyo CIF ya invoice inatumika.
 
D. O charges (shipping line) ya xtrail haiwez kufika laki5 ni dola 87 tu. Ushuru ni 7.6m cif price kwenye database ya tra ni $5164.00 na port charges ni laki5. Plate number 38,000, agency fee 250,000.
 
Asante sana Mkuu. mi nataka kuagiza Toyota ISIS ya 2006, cc. 1990, na cif ya 2500. Kwa jumla natakiwa nijiandae na sh. ngapi kuklia malipo yote?
 
NINAWEZA BREAK DOWN HIYO..

D. O charges $85, ushuru 3,783,391.00, cif price kwenye database ya tra $2450, port charges 300,000.00, plate number 38,000.00 agency fee 250,000.00
 
NINAWEZA BREAK DOWN HIYO..

D. O charges $85, ushuru 3,783,391.00, cif price kwenye database ya tra $2450, port charges 300,000.00, plate number 38,000.00 agency fee 250,000.00
Asante sana kwa mwongozo huo. Ntakupiem pia nikiuanza mchakato huo.
 
Asante sana Mkuu. mi nataka kuagiza Toyota ISIS ya 2006, cc. 1990, na cif ya 2500. Kwa jumla natakiwa nijiandae na sh. ngapi kuklia malipo yote?

Make:TOYOTA
Model:ISIS
Body Type:WAGON
Year of Manufacture:2006
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1001 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):2450.00
Import Duty (USD):612.50
Excise Duty (USD):153.13
Excise Duty due to Age (USD):459.38
VAT (USD):661.50
Total Taxes (USD):1887
Total Taxes (TSHS):3383391
 
Kwa anayejua,nimeagiza Rav 4 ACA21 ya mwaka 2002,2000cc.Nitatakiwa kulipa kiasi gani mpaka niwe barabarani?

Make:TOYOTA
Model:RAV 4 - 5 DOOR - ACA / ZCA - 21 / 26
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2002
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1001 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):4237.25
Import Duty (USD):1059.31
Excise Duty (USD):264.83
Excise Duty due to Age (USD):1588.97
VAT (USD):1287.06
Total Taxes (USD):4200
Total Taxes (TSHS):7530600
 
Back
Top Bottom