Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja
Vitu vya kufanya
Chumba kina ukubwa wa 4m x 3.5m (ukiunganisha na eneo la toilet)
Note: Nimeambatanisha picha kuonyesha chumba kinatakiwa kije kiwaje
Vitu vya kufanya
- Rough Floor
- Mlango wa mbao
- Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet
- Plaster
- Skimming
- Blandering
- Gypsum board
- Rangi
- Tiles chumbani
- Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m)
- Choo cha kukaa
- Sink la kunawia
- Shower set
Chumba kina ukubwa wa 4m x 3.5m (ukiunganisha na eneo la toilet)
Note: Nimeambatanisha picha kuonyesha chumba kinatakiwa kije kiwaje