gharama kupaua/kuezeka

Sijawaelewa watu gani hao hawawezi kukupata?kwani wakikupata kuna shida gani?

MKUU UMEONA ENHEE...PEOPLE FEAR WHAT THEY DONT UNDERSTAND AND FIGHT WHAT THEY CANT CONQUER....taabu kwelikweli...tuache kuishi kwa woga bana kama tunaoga barabarani mchana kweupe.

Ok..SAY UMENIJUWA JINA NA KILA KITU KUHUSU MIMI SO WHAT...NINI KINABADILIKA..UNA-EMAIL, SIMU, NAMBA ya nyumba, bajaji, pikipiki na gari navyoendesha, NA MTAA NINAO-ISHI NA SURA NA JINA UNANIJUWA..."UTANIFANYA NINI KWA UCHANGIAJI WA HIZI MADA ZA JAMII FORMUS"??

lets think big.."NADHANI MAWAZO YANGU JUU YA NINI NITACHOFANYA KESHO SIO ISSUE KUBWA AS LONG AS HAYANA MADHARA JUU YA AMANI NA UTULIVU WA WALIO WENGI HAPA NCHINI NA DUNIANI KWA UJUMLA..." IF YOU AR NOT A RED ALERT THREAT TO ANY LIVING CREATURE JUST LIVE LARGE MEEEN...LIFE IS TOO SHORT.

sorry mleta mada nimejikuta natoka nje ya mada yako nitachangia soon acha ujumbe huu ueleweke kwa wengi wetu.
 
Mkuu nahitaji kokoto nyeusi na mchanga kwa wingi. I might need trip kama 15 za kokoto na 15 za mchanga kwa lori kubwa la tani 18. Kama kuna mwenye gari unayemfahamu, please nipe contact zake.

Tiba
tiba, kwa hizo bei alizoweka mkuu hupati lory kubwa la granite aggregates...lile lipo kwenye 1.million. pia ni subject ya kokoto zinapelekwa wapi maana nyingi hutoka msolwa mbele ya chalinze....naweza kukupa contact za jamaa yangu anayo-malory kwa ajili ya shughuli hizo kaagiza UK....uwasiliane naye kama mutafunga deal powa.
 
Mkuu asante kwa kujitolea kuniunganisha na jamaa yako anayeweza kussupy hizo kokoto. Ukweli ni kwamba nilikuwa na shida hiyo kwa wakati ule. Hii nyumba iliishajengwa ikaisha na watu wamehamia tayari.

Tiba
 
Back
Top Bottom