gharama kupaua/kuezeka

aspen

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
501
165
wandugu naomba kuuliza bei ya mabati ya kawaida na yale magumu ya south na gharama ya kuezeka nyumba ya square meter 100 inaweza tumia mabati kiasi gani nawasilisha
 
wewe mtafute fundi mtaalamu wa bati akufanyie estimation!na pia ujue bati lako linakaaje?manake ukishajua unapauwa kivipi ndio utajua idadi ya bati!ukishajua idadi ya bati njoo hapa tukupe mau janja!fundi akueleze kuwa ni bati za urefu gani zinahitajika!sie tutakupa ma ujanja!
 
wandugu naomba kuuliza bei ya mabati ya kawaida na yale magumu ya south na gharama ya kuezeka nyumba ya square meter 100 inaweza tumia mabati kiasi gani nawasilisha
mkuu sallaaam,
kwa mabati magumu yana size ya 1x3m hii ina maana 100/3 inakua 33 so inabidi uyanunue 33,tatizo yako local mno ...ukitaka vigae vya south vile ni 1.7mx0.37 hii ni sawa na 0.629 so inakua 100/0.629 inabidi ununue vigae 159...ila tatizo vinapata kutu baada ya miaka 4 ukitaka kitu quality,
nenda nabaki afrika pale mwenge karibu na cocacola na ramani yako kuna vigae vya new zealand guarantee 50 yrs na mafundi watakupa....4 more info nipm
 
maishapopote,

kwa nini umwambie akuPM? Why not posting it here for the benefit of everyone as there are many people that will benefit for the info you have in possession.
 
anataka kumchakachua kimya kimya kaona wa shamba huyo!
 
Kwanza kabisa mbali na materials ina bidi wewe mwenyewe usimamie maana ndugu watakupiga kuanzia material na labour. Kama bati la kawaida nenda Nyerere rd opposite na Radio Tz kuna jamaa agent wa Aluminium bati chapa simba haipati kutu bati moja 20,000 la kwa bunddle la 12pcs unalipa 220,000 uki- bargain unanunua kwa 200,000. Mbao Buguruni kona pale wanauza bei nzuri wanakupa na usafiri kutegemea na mzigo.

Kazi kwako.
 
Mkuu hao jamaa wa mbao wanauzaje kwa running feet ya treated timber ya mninga au mti mwingine imara? Asante.
 
Mwezi uliopita wanauza sh 600 unaweza kupatanisha wanauza hadi sh580 hizi ni 4 x 2. Ziko treated na wakati wa kunapima ubao hadi ubao gharama ya kuyasogeza ni juu yao. Wewe unakuwa nakidaftari una record basi. Watapeleka mashine kupasua kama ni 4 x 4 na kama si sikosei walini charge sh 100 au sh150 kila njia moja. Watapakia ukimaliza kuhesabu na wanakupelekea. Unaweza wapa hela kidogo ya kushushia ili wakupangie vizuri. Vizuri uwepo au uwe na mtu unayemuamini sana maana wataku fisadi kwenye futi, idadi na bei.
Waya za kufungua kenchi shs2500.

Kama bati za kawaida futi 6 zinakuwa 12 bunddle moja, futi 5 zinakuwa 14pcs kwa bunddle. Misumari ya aina yote (Size) sh 2500 kwa kilo. Cement ilikuwa 12500 lakini bei imeongezwa na serikali sasa ni 13500, Lori kubwa la mchanga 130,000, Lori la kokoto kubwa sh 300,000, Madirisha ya aluminium material ya Dubai na USA dirisha la 5 x 4 na kioo cha 5mm one way sh 250,000. yale madogo ya vyooni sh 50,000. Ila uwe makini maana wanaweza kukuchomekea frame zinazochunika kwa urahisi so uwe na mtu anayezijua.

Kila la kheri.
 
Mkuu nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri na nitayafanyia kazi. Vipi bei ya treated timber za 2x2 na 2x3 kwa running feet?
 
Umeme ndugu yangu. Hizo mbao ni treated - Ila Mninga treated sijawahi kuona wala kusikia. Ila kama ni mninga wa milango au vitanda inategemea kwa frame za milango ni 30,000 ubao moja futi inazidi size ya mlango, zile za top bei imenitoka ila ni vyema kununua milango iliyotendenezwa maana ni 180,000 - 220,000 kama sikosei pale veterinary au sehemu fulani Tandika nikimpata mtu akanipa jina nitakupa. Ila mninga hauwi treated labda mimi ndio sijui.
 
Jambo la muhimu kujua nyumba yako umekusudia kuipaua kwa mtingo gani, maana gharama na idani ya mbao, mabati, misumari nk idadi hutegemea na aina ya paa yako. Kama ni ya mtindo wa mgongo wa tembo ujue gharama za mbao nafuu.

Ni vizuri ukawa na mtu anayejulia kidogo mambo ya mapaa, maana fundi akikuambia zinahitajika mbao (refters) au mbao mtambaa panya utabaki kushangaa ni sababu tu ya viambisho vya maneno ya kifundi.
 
Mwezi uliopita wanauza sh 600 unaweza kupatanisha wanauza hadi sh580 hizi ni 4 x 2. Ziko treated na wakati wa kunapima ubao hadi ubao gharama ya kuyasogeza ni juu yao. Wewe unakuwa nakidaftari una record basi. Watapeleka mashine kupasua kama ni 4 x 4 na kama si sikosei walini charge sh 100 au sh150 kila njia moja. Watapakia ukimaliza kuhesabu na wanakupelekea. Unaweza wapa hela kidogo ya kushushia ili wakupangie vizuri. Vizuri uwepo au uwe na mtu unayemuamini sana maana wataku fisadi kwenye futi, idadi na bei.
Waya za kufungua kenchi shs2500.

Kama bati za kawaida futi 6 zinakuwa 12 bunddle moja, futi 5 zinakuwa 14pcs kwa bunddle. Misumari ya aina yote (Size) sh 2500 kwa kilo. Cement ilikuwa 12500 lakini bei imeongezwa na serikali sasa ni 13500, Lori kubwa la mchanga 130,000, Lori la kokoto kubwa sh 300,000, Madirisha ya aluminium material ya Dubai na USA dirisha la 5 x 4 na kioo cha 5mm one way sh 250,000. yale madogo ya vyooni sh 50,000. Ila uwe makini maana wanaweza kukuchomekea frame zinazochunika kwa urahisi so uwe na mtu anayezijua.

Kila la kheri.

Mkuu nahitaji kokoto nyeusi na mchanga kwa wingi. I might need trip kama 15 za kokoto na 15 za mchanga kwa lori kubwa la tani 18. Kama kuna mwenye gari unayemfahamu, please nipe contact zake.

Tiba
 
Hilo duka linaitwaje,wapo wapi,una namba zao ?nahitaji madirisha
mwezi uliopita wanauza sh 600 unaweza kupatanisha wanauza hadi sh580 hizi ni 4 x 2. Ziko treated na wakati wa kunapima ubao hadi ubao gharama ya kuyasogeza ni juu yao. Wewe unakuwa nakidaftari una record basi. Watapeleka mashine kupasua kama ni 4 x 4 na kama si sikosei walini charge sh 100 au sh150 kila njia moja. Watapakia ukimaliza kuhesabu na wanakupelekea. Unaweza wapa hela kidogo ya kushushia ili wakupangie vizuri. Vizuri uwepo au uwe na mtu unayemuamini sana maana wataku fisadi kwenye futi, idadi na bei.
Waya za kufungua kenchi shs2500.

Kama bati za kawaida futi 6 zinakuwa 12 bunddle moja, futi 5 zinakuwa 14pcs kwa bunddle. Misumari ya aina yote (size) sh 2500 kwa kilo. Cement ilikuwa 12500 lakini bei imeongezwa na serikali sasa ni 13500, lori kubwa la mchanga 130,000, lori la kokoto kubwa sh 300,000, madirisha ya aluminium material ya dubai na usa dirisha la 5 x 4 na kioo cha 5mm one way sh 250,000. Yale madogo ya vyooni sh 50,000. Ila uwe makini maana wanaweza kukuchomekea frame zinazochunika kwa urahisi so uwe na mtu anayezijua.

Kila la kheri.
 
Kwanza kabisa mbali na materials ina bidi wewe mwenyewe usimamie maana ndugu watakupiga kuanzia material na labour. Kama bati la kawaida nenda Nyerere rd opposite na Radio Tz kuna jamaa agent wa Aluminium bati chapa simba haipati kutu bati moja 20,000 la kwa bunddle la 12pcs unalipa 220,000 uki- bargain unanunua kwa 200,000. Mbao Buguruni kona pale wanauza bei nzuri wanakupa na usafiri kutegemea na mzigo.

Kazi kwako.

ndugu kakolo, Buguruni kona ni wapi? karibu na mataa/shell? una contact na hao jamaa au jina la kampuni
 
Back
Top Bottom