Get well THE FINEST!

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Nimeskia unaumwa and now uko hsp unacheki afya,pole sana jamani kama ni malaria,tumbo la ku kuhara,kichwa au chochote basi kishindwe na upate kuwa mzima tena na tena ili urudi jamvini,Get well figher!:A S thumbs_up:
 
images
 
Hey Young Man..
Pole dogo..imekuwaje tena?...Nadhani upweke pia unachangia...Nawasiliana na Loner..
All in all, get well immediately!
 
Nimeskia unaumwa and now uko hsp unacheki afya,pole sana jamani kama ni malaria,tumbo la ku kuhara,kichwa au chochote basi kishindwe na upate kuwa mzima tena na tena ili urudi jamvini,Get well figher!:A S thumbs_up:

Ohh duh ugua pole kijana
 
mwambieni dogo awe anakunywa kwa step

HAWEZI KUSHINDANA NA TANZANIA DISTILLARIES.........
 
Pole sana kaka nakutakia afya njema na urudi jamvini kama ni yale maswali ya mahari nitapunguza bei usipate tena presha na pia nawasiliana na pj.akutafutie yule nesi wa Iringa awe hapo adu ze nidfulu
 
mmh jaman pole sana ,ma dear
pole
kweli unaumwa?ntakuja badaye kigeto km unaumwa kweli

nichek kwa simu basi..
pole jaman....
 
Huyu dogo anaumwa au ana hangover? Nakumbuka jana alianza kunywa mipombe kuanzia saa 4 usubuhi.
 
duuuuhhh
hii taarifa ndo nasikia leo..
asante sana Pearl kwa kutujulisha..

TF pole sana mpendwa...
usijali tunakuombea na
muda si mtrefu utakuwa nasi hapa...
 
Nimeskia unaumwa and now uko hsp unacheki afya,pole sana jamani kama ni malaria,tumbo la ku kuhara,kichwa au chochote basi kishindwe na upate kuwa mzima tena na tena ili urudi jamvini,Get well figher!:A S thumbs_up:
aisee.... kama ni pombe basi pombe balaaaaaaaa
kama ni mapenzi, basi mapenzi baaaaaaaaaaa
kama ni pesa, basi pesa balaaaaaaa
kama ni malaria, basi haikubaliki
kama ni tumbo, basi pata konyagi

ugua pole
 
Ww bidada yani mume wko ww m nikutunzie?ebu njoo uuguze huku
duuuuhhh
hii taarifa ndo nasikia leo..
Asante sana pearl kwa kutujulisha..

Tf pole sana mpendwa...
Usijali tunakuombea na
muda si mtrefu utakuwa nasi hapa...
 
Back
Top Bottom