Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Ushanitia kiu mgoja nisepe. So long zaidi ya 75% ya wapwa na mabinamu wameconfirm kushiriki, ngoja nikajipongeze japo na kandovu ka baridi. Usisahau kuja na dada akiwa ameshika red flowers.
kanywe ndovu kwa afya zao bana!sasa sijui hawa viumbe wamekupa namba zao?
maanake mimi sipendi kuona ndafu ninayemuandaa haishi kwasababu hawaji