Get tugedha ya wapwa na mabinamu wa mahusiano.

haswa!shemeji kuna kilema yupo kulee kwenye thredi ya mambo ya kikubwa amerusha masanilo!nenda kashangae uumbaji na kazi ya mungu!(ofu point kidooogo)!

Nimefika nikajikuta napiga breki mwenyewe. Ile inamfaa yule mshori anayetaka kufungua nanihino mitaa ya Royal Palm.
 
mchumba Xpin,naomba ruhusa sitafika,nataka niende kwenye maombi kumwombea Bluray ,si unajua hali yake? hamwamini Mungu.
 
mchumba Xpin,naomba ruhusa sitafika,nataka niende kwenye maombi kumwombea Bluray ,si unajua hali yake? hamwamini Mungu.

hahahhaa,yani habari mbaya wakati mtu anapotea?

hakika siku yangu ni kama imeharibika!

I knew you were just kidding. Manake nilishaanza kuandaa pepa la talaka.

Wakuu kwani huyo blurei ndo nani hadi atake kuchafua hali ya hewa? yaani opportunity cost ya kutofika kwenye libeneke ndo kwenda sijui kumwombe blurei? Shemeji ZD please ebu fikiria tena
 
Wakuu kwani huyo blurei ndo nani hadi atake kuchafua hali ya hewa? yaani opportunity cost ya kutofika kwenye libeneke ndo kwenda sijui kumwombe blurei? Shemeji ZD please ebu fikiria tena

he tried to mock GOD!lakini shemeji yangu anaangalia kinachowezekana.aidha maombi yaanzie saa kumi na moja alfajiri ili kufidia muda wa kuja maeneo!:)
 
Mpwa kwa hapo unapaswa kuniomba mimi radhi! Hahaha! Unakaba mpaka penalt?

hahahahahha, Xpin unajua kuna watu wakisema kidude cha thanks hawakioni, nilikuwa siwaelewi. sasa imenitokea kwa mara ya kwanza, siamini!

Mpwa nakutaka radhi ukurasa wa mbele wa gazeti la udaku, nadhani wataiweka hii badala ya habari za auntie exekiel na wema na hatmani! kwa hiyo supposedly utawahi mpwa?
 
hehehehehe!leo ijumaa bana kuna foleni kweli!lazima tuanzie breki-pointi mpaka tufike kibamba tumelewa kweli kweli

Ushanitia kiu mgoja nisepe. So long zaidi ya 75% ya wapwa na mabinamu wameconfirm kushiriki, ngoja nikajipongeze japo na kandovu ka baridi. Usisahau kuja na dada akiwa ameshika red flowers.
 
Back
Top Bottom