Asante Lole, Chris na Glory ni ma age mate halafu nilikapendaga kabinti kake ka Apollonia ila sikuwahi kukaambia!.
Mzee huyu ni great man, alikuwa humble na down to earth!.
Rip George Mbowe!.
Wajameni tusaidieni tujue mzee huyu ana uhusiano wowote na Kamanda Mbowe wa CDM?
Nadhani alikuwa cousin wa baba yake Freeman.Wajameni tusaidieni tujue mzee huyu ana uhusiano wowote na Kamanda Mbowe wa CDM?
Kuna wakati Mzee Mbowe ( baba yake Freeman) alimuintroduce George Mbowe kwa wanae kuwa ni ndugu yake.Hawa uhusiano rasmi zaidi ya kufanana majina, Kamanda Mbowe ni Mbowe ya Machame, huyu George ni Mbowe ya Songea!.
Jamani mbona jina limeelezwa kuanzia kwenye heading na mpaka kwenye maelezo yaliyofuatia? Mnataka Speaker aweke jina lipi zaidi?
R.I.P. George Frederick Mbowe!!!
Masikini mimi, sikukaambia shauri ya inferiority ya maeneo tuliokuwa tunaishi, mimi nikiwa mtoto wa Msasani Mikoroshoni, Uwanja wa Magunia, nikisoma Tambaza hivyo watoto wa Upanga unawaonea tuu ndani ya mageti yao na kuishia ... kwa macho tuu!.Pasco na wewe!
Nje ya uzi: Usiseme ka-Apollo, maana sasa anakimbilia kwenye late 30s. Halafu alikuwa anapenda sana watu wa Kanda ya Ziwa, so ungemwambia may be sasa hivi ungekuwa West.
Mkuu wangu huyu mzee ni Mnyakyusa kwa Kabila wana uhusianao na mzee Mbowe (baba yake Freeman) kivipi?Kuna wakati Mzee Mbowe ( baba yake Freeman) alimuintroduce George Mbowe kwa wanae kuwa ni ndugu yake.
Mkandara,Mkuu wangu huyu mzee ni Mnyakyusa kwa Kabila wana uhusianao na mzee Mbowe (baba yake Freeman) kivipi?
Hata mkitoa RIP mia tano hazitasaidia kama maisha yake duniani hayajampendeza Mungu Yehova. Mungu ndiye anayejua amweke wapi, mnaweza kusema RIP kumbe mzee wetu anaungua kwenye moto wa jehanum. Au kuna watu labda aligombna nao siku chache kabla hajatwaliwa wanampigia mahesabu kuwa kaenda motoni kumbe marehemu aliomba toba na Mungu Yehova wa rehema akamsamehe saa chache kabla mauti haijamfika. Kikubwa hapa ni kumrudishia Mungu utukufu maana yeye ndiye aliyetoa na yeye ametwaa. Poleni wafiwa, na sisi tutayarishe maisha yetu tukingali tupo hai, tusimkosee Mungu Yehova tukategemea atazisikia RIP za wapendwa wetu. Utavuna ulichopanda

Mkuu Mzito Kabwela,
R.I.P. ni ombi, na sio hukumu. Ni Mungu pekee ndiye anaweza kutuhukumu kwa kuwa anayajua matendo yetu, mawazo yetu na nyendo zetu hata zile tunazozifanya tukiwa gizani.
Watu tunapotoa/sema R.I.P. ni kwamba tunamwomba Mungu ampe pumziko la amani. Siku zote binadam mwenye utu, hawezi kumwombea mwenzake mabaya, we always pray for the best kwa ajili ya wenzetu.