Sidhani kama wana uhusiano. Labda kama wameoleana. Si unajua Tanzania aliotuachia Mwalimu. Poleni wafiwa.Wajameni tusaidieni tujue mzee huyu ana uhusiano wowote na Kamanda Mbowe wa CDM?

Hawa uhusiano rasmi zaidi ya kufanana majina, Kamanda Mbowe ni Mbowe ya Machame, huyu George ni Mbowe ya Songea!.Wajameni tusaidieni tujue mzee huyu ana uhusiano wowote na Kamanda Mbowe wa CDM?
George Frederick Mbowe aliyefariki nyumbani kwake usiku wa Februari 29, 2012 kutokana na ugonjwa wa Kiharusi.
Amewahi kufanya kazi katika:-
1.Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB),
2.katika nyadhifa za Mkurugenzi Mtendaji wa
3.Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB),
4.Mwenyekiti wa PSRC na
5.Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Mungu ampe mapumziko mema.Amen
Kamanda pole saana na msiba, Mungu akupe nguvu amani na hekima ya kupambana na majukumu ya kifamilia!!!!!!
George Frederick Mbowe aliyefariki nyumbani kwake usiku wa Februari 29, 2012 kutokana na ugonjwa wa Kiharusi.
Amewahi kufanya kazi katika:-
1.Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB),
2.katika nyadhifa za Mkurugenzi Mtendaji wa
3.Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB),
4.Mwenyekiti wa PSRC na
5.Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Mungu ampe mapumziko mema.Amen
Unaogopa isianze na Freeman?Ahsante kwa taarifa ila tafadhari heading ya habri yenyewe inatisha, jaribu kubadirisha specify 'George Mbowe hatunaye tena'.
wanauhuciano gan na freeman
Asante Lole, Chris na Glory ni ma age mate halafu nilikapendaga kabinti kake ka Apollonia ila sikuwahi kukaambia!.Post kama hizi zina onyesha jinsi wazee waliofanya kazi kwa kujituma sana toka enzi za Mwalimu walivyo sahaulika.
Mzee George Mbowe alikuwa mmoja wa economical think tanks and movers wakati wa Mwalimu na hata baada ya hapo.
Aliendesha vyombo vya fedha(Banks etc) kwa uaminifu mkubwa, na wakati huo haikuwepo chakachuaji kama ya EPA n.k.
Wengi wanafikiri ni ana undugu na Freeman, la hasha, huyu asili yake ni Malawi, watu waliohamia nchini miaka mingi iliyopita toka baba zao.
Nimemfahamu Mzee Mbowe binafsi kwa vile alikuwa si mpenda makuu, mcheshi na mkarimu akiheshimu kila mtu hata akiwa mdogo.
We will miss you George
R.I.P.
Unaogopa isianze na Freeman?Ahsante kwa taarifa ila tafadhari heading ya habri yenyewe inatisha, jaribu kubadirisha specify 'George Mbowe hatunaye tena'.
Speaker, weka jina la kwanza nalo..maana kuna Mbowe wengi mkuu!!
RIP
Unaogopa isianze na Freeman?Ahsante kwa taarifa ila tafadhari heading ya habri yenyewe inatisha, jaribu kubadirisha specify 'George Mbowe hatunaye tena'.
Asante Lole, Chris na Glory ni ma age mate halafu nilikapendaga kabinti kake ka Apollonia ila sikuwahi kukaambia!.
Mzee huyu ni great man, alikuwa humble na down to earth!.
Rip George Mbowe!.
Post kama hizi zina onyesha jinsi wazee waliofanya kazi kwa kujituma sana toka enzi za Mwalimu walivyo sahaulika.