Asante sana mkuu, mi naona wote tunaongelea kitu kile kile. RIP ni njia tu ya kujifariji na kufarijiana, it has nothing to do with God's decisions. Kiukweli kama ulivyosema ni Mungu pekee anayejua amweke mahali gani na hiyo ni kutokana na matendo ya marehemu alipokuwa hai. Biblia ilo straight foward, hujatubu dhambi zako ukiwa hai, mahali pako ni jehanum ya moto. Iko open pia, ukitubu dhambi zako ukiwa hai utapata pumziko la milele. Kwa maana hiyo, RIP kwa Mungu ni sawa na porojo tu, hazisaidii
Tunaamini kwamba ukifa ndio mchezo unaisha, umeme unakatika, hakuna kinachoendelea utakachoelewa.
Kumbe na wewe kuna mambo 'unaamini' eeeh?
Mkuu Joka Kuu, kusema kweli watu humu jf mna data!. Umenikumbusha Lord Rajpar, moja ya makosa yake enzi za mwalimu, ni kumiliki, meli, ndege na ile benzi yake, S Class 500 yenye hadhi kubwa kuliko ya rais, by then Nyerere akitumia D.200!. Nyumbani kwake pale Masaki, alichimba bore hole yake, hivyo kujitegemea kwa maji yake, na kufunga windmill yake hivyo kujitegemea kwa umeme!...R.I.P George Mbowe.
NB:
..Mzee huyu alikuwa mtumishi wa umma wa muda mrefu akiwa amefanya kazi na Mwalimu Nyerere,Raisi Mwinyi, pamoja na Raisi Mkapa.
..kama sijakosea miaka ya 60 na 70 alipewa jukumu la kusimamia zoezi la kutaifisha nyumba, na kuanzishwa kwa "msajili wa majumba". Zoezi hilo lilihusisha pia kuwafidia wale "walionyang'anywa" nyumba zao.
..miaka ya 80 nadhani alipata na misukosuko ktk kashfa ya meli ya "Lord" Rajpar. baada ya hapo naamini jina lake lilikuwa cleared na ndipo alipokwenda nje ya nchi kikazi.
..miaka ya 90 akaibuka na kuwa Mkurugenzi mwanzishilishi wa PSRC, chombo kilichosimamia uuzwaji wa mashirika ya umma na mali nyingine zilizotaifisha miaka ya 60!!!!!
Mkuu Joka Kuu, kusema kweli watu humu jf mna data!. Umenikumbusha Lord Rajpar, moja ya makosa yake enzi za mwalimu, ni kumiliki, meli, ndege na ile benzi yake, S Class 500 yenye hadhi kubwa kuliko ya rais, by then Nyerere akitumia D.200!. Nyumbani kwake pale Masaki, alichimba bore hole yake, hivyo kujitegemea kwa maji yake, na kufunga windmill yake hivyo kujitegemea kwa umeme!.
Lord Rajpar, akaswekwa ndani enzi za wahujumu, na kuishia kujifia zake depression!.
Rip. GM!.
Mie sio tu naamini, nasema hakuna chochote zaidi ya kuamini.
You talk too much you end up contradicting yourself!
Utasemaje 'unaamini' halafu useme "nasema hakuna chochote zaidi ya kuamini"?
Anyway, ngoja nisiendelee kuchakachua uzi wa watu!
Kuna mijitu ina thinking ya ajabu kama wewe hodari wa kurekebisha kiswahili na bingwa wa dini nenda jukwaa la dini hapa tunawapa pole wafiwa na kumkumbuka mtu aliyekuwa ni mfano wa kuigwa kwa utendaji kazi. Kama unachuki zako binafsi peleka huko mnakera watu wengine jamani. Pole sana Apollo na Lilian, Patrick mmoja ya wazee wa upanga ametutoka.
I don't talk here, I write, remember?
mmoja anazaliwa mmoja anakufa