KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,243
- 5,005
We jamaa kwani amesema wachagga au wanaokaa moshiUsikariri
Sio kila anayeishi mkoa wa Kilimanjaro ni mchagga.
Elewa hivyo mkuu
We jamaa kwani amesema wachagga au wanaokaa moshiUsikariri
Sio kila anayeishi mkoa wa Kilimanjaro ni mchagga.
Elewa hivyo mkuu
Bas warumi 6:23Huenda alikuwa jasusi yupo kazini.
Wapare wapo KilimanjaroMgeni atafuata Nini Moshi mji wa ukabila ule . Wao wenyewe wanakimbiana ama kubaguana ,huyu mrombo akajaza warombo wenzake hapa utamsikia wa siha ama machame Kama sio wa kibosho analalamika
Wapo same bana ,huko gonja wamepakana na wasambaa kwenda huko.masandare,hedaru,kifaru,pia hao hawana hizo Tabia za makabila naneWapare wapo Kilimanjaro
Silver or LeadPlata O plomo
-Escobar
Wachaga na wapare wanafanana sana kitabiaWapo same bana ,huko gonja wamepakana na wasambaa kwenda huko.masandare,hedaru,kifaru,pia hao hawana hizo Tabia za makabila nane
Hivi kwa nini mnasingizia kuwa kuna watu wanataka kumhujumu rais wakati yeye ndiye mamlaka ya kuwaweka wateule wake wote? Huu ujinga wa kukariri utaisha lini. Mambo kama haya yanaashiri hata yeye uongozi umemshinda.Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, hali mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
View attachment 2923134
Itakuwa mambo ya mirungiDuh
Wachagga na Ngada wapi na wapi?🐼
HeeeeeeehMaghayo naye atakuwa anauza ngada? Hatari sana!
Utakuwa mpare wewe.ni makabila mawili tofauti kabisa. Hawafanani ama kwa vile wao walibeti kuwa pesa ikienda juu Ni ya kwao na ikirudi chini Ni ya mchagaWachaga na wapare wanafanana sana kitabia
Huo ni mtizamo wako na shio sheria na huna hati miliki ya kabila lolote lileUtakuwa mpare wewe.ni makabila mawili tofauti kabisa. Hawafanani ama kwa vile wao walibeti kuwa pesa ikienda juu Ni ya kwao na ikirudi chini Ni ya mchaga
I second thisDuh
Wachagga na Ngada wapi na wapi?🐼
Aiseemoshi kwa sasa naona madawa na mihadarati imejaa hasa wala mirungi na wavuta bangi kwa wingi majuzi nilishuhudia hayo maeneo mengi ya moshi mjini
Nimekutega umeingia ,life and everything is all about mind gameHuo ni mtizamo wako na shio sheria na huna hati miliki ya kabila lolote lile
Na maswala ya mimi ni kabila lipi haitakuongezea chochote hata ukijua
Ukijua uandishi ni raha sanaMtoa mada, 100% unafanya Biashara haramu.
Ndio maana umemuita Shujaa aloamua kuokoa Vijana "Snitch".
Umeshantega umepata niniNimekutega umeingia ,life and everything is all about mind game
Innallillah wainnah raajiun. Lkn saa 7:30 usiku akienda wapi? Wallah aalamNi wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
View attachment 2923134
Fafanua kidogo.Utakuwa mpare wewe.ni makabila mawili tofauti kabisa. Hawafanani ama kwa vile wao walibeti kuwa pesa ikienda juu Ni ya kwao na ikirudi chini Ni ya mchaga