Genge la wauza madawa ya kulevya lamuua kikatili "Snitch" kutoa onyo kwa wengine huko Kilimanjaro

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.

Screenshot_2024-03-03-16-41-26-056_com.instagram.android~2.jpg
 
Mimi kuna Kijana wa Kitanzania kutoka Mkoa wa Tanga nilimpa lifti kutoka Kigali alikuwa ametokea India kashukia Kanombe na Mabegi mawili makubwa kufika Singida tukaingia Bar akaniambia kuwa kazi zake ni za kuingiza Unga Astaghfurula! Toba! nikamwambia unataka KUNIFUNGA!?

Nikamwambia atafute usafiri mwingine akanipoza kwa Dola 300 halafu akatokomea gizani akamuacha hata yule Mwanamke aliyekuwa amemuandaa akalale nae😁😆

Mimi ndio Imhotep nikiwaga Konyagi sipendagi upuuzi.
 
Back
Top Bottom