Gazeti la Uhuru ladai CHADEMA wananunua shahada za kupigia kura Igunga kwa noti feki

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,865
10,484
Gazeti la chama tawala CCM la Uhuru la leo 20/09/2011 limeandika kuwa CHADEMA wanatumia noti bandia kununua shahada za kupigia kura toka kwa wananchi wa maeneo mbalimbali huko Igunga.

Isije ikawa ni ku-counter yale yaliyowapata CCM kwa mabalozi na makada wao kukamatwa na wakiorodhesha najina na namba za shahada ili kuwarubuni wapiga kura na hatimae kushinda kimazingaombwe kama walivyozoea.

Ndugu yangu ULIMAKAFU! Elewakuwa matumizi ya noti bandia ni kosa la jinai. Sasa ni wanunuzi wa shahada za kupigia kura ambao ni chadema mbona hawajakamatwa na noti bandia?

Nimependa kwa uchambuzi wako!!

Kwa kweli magamba maji yamewafika shingoni.No evidence no right to speak.Chadema walipomkamata yule balozi walimuonyesha na magazeti na tv zikamuonyesha.Sasa mbona Magamba hawamuonyeshi hadharani huyo mhalifu?

CCM wameishiwa wanatafuta kila njia kutafuta watu waamini ila mda wao umefika hata hata wasemeje watu hawatawasikiliza.

Ndugu yangu ULIMAKAFU! Elewakuwa matumizi ya noti bandia ni kosa la jinai. Sasa ni wanunuzi wa shahada za kupigia kura ambao ni chadema mbona hawajakamatwa na noti bandia?

Nimependa kwa uchambuzi wako!!

Tulishatoa angalizo huko nyuma kuwa CCM sasa hivi ni kama simba aliyejeruhiwa kwa kung'olewa meno pia. Watafanya kila ujinga on earth ndani ya week hizi mbili zilizo baki za kampeni. Chadema lazima wawe makini sana maana wanatumia njia ya ku Counter kila tuhuma. Ila ya Mbunge kupopolewa kwa mawe lazima wataicounter tu kwa sababu hawana watu wenye kufikiri hivi sasa. Wakisikia chadema tu wanachanganyikiwa hawawezi kulala usingizi hivi sasa.

Ila chadema pia ni lazima waendelee kuwa provoke ili waropoke!

Gazeti la chama tawala CCM la Uhuru la leo 20/09/2011 limeandika kuwa CHADEMA wanatumia noti bandia kununua shahada za kupigia kura toka kwa wananchi wa maeneo mbalimbali huko Igunga.....
Yaani CCM wanajisahau mpaka wanaona kununua shahada ni biashara halali na kosa ni kutumia noti bandia tu!? Kweli magamba ni nouma!

Uhuru ni gazeti la kuwashia moto na kufungia vitafunwa,kama kweli mbona hawajachukuliwa hatua?DEBE TUPU HALIISHI KUPIGA KELELE.

Yaani CCM wanajisahau mpaka wanaona kununua shahada ni biashara halali na kosa ni kutumia noti bandia tu!? Kweli magamba ni nouma!

Tehtehteh!Wameandika bila kutafakari kwa mapana athari za hiyo habari!

Yaani CCM wanajisahau mpaka wanaona kununua shahada ni biashara halali na kosa ni kutumia noti bandia tu!? Kweli magamba ni nouma!

Tehtehteh!Wameandika bila kutafakari kwa mapana athari za hiyo habari kwa upande wao....hatai kweikwei!

Hivi kwanini Uhuru wasitafute Waandishi wa habari waliandikie habari! Hivi kuna mtu anayeweza kukubaliana na ujinga kama huu! Hivi kununua shahada kwa noti bandia ni kujijenga au kujibomoa! Lakini kwakuwa wanatumia Masaburi kufikiri ndio maana wanaweza kufikiri kwamba wanaweza kuuza ujinga wao na ukakubalika na watu.

Ni gazeti takataka

Uko sahaihi kabisa mkuu,ukisoma hilo gazeti unaweza kushikwa na kichefuchefu.Pure pumba.

I agree with you. This newspaper enjoys the same status as Tanzania Daima na Mtanzania or Rai. They are all propaganda tools!

One thng i like and admire from you Mbopo ni kwamba haufungamani na upande wowote..

Kwa kweli magamba maji yamewafika shingoni.No evidence no right to speak.Chadema walipomkamata yule balozi walimuonyesha na magazeti na tv zikamuonyesha.Sasa mbona Magamba hawamuonyeshi hadharani huyo mhalifu?

That is the difference between CHADEMA and CCM, chadema wanakwambia ''SIKIA HALAFU ONA" ccm wanakwambia "SIKIA TU KUONA SI HAKI YAKO"

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom