Gazeti la Tanzanite: CHADEMA, yajiandaa kwenda Ujerumani na Marekani mwishoni mwa mwaka: Lengo ni kuomba msaada wa kupambana na Serikali

Mungu mbariki Jenerali Mbowe na CHADEMA kwa ujumla. CHADEMA ni kiboko ya CCM.

Karibu nyumbani Rais wetu ajae comrade Tundu Marshal Antipas Lissu uje uwatoe makamasi hawa pimbi
kweli kabisa mkuu yaani katika vyamavyooote walivoweza FISIEM kuviburuza walifanikiwa ila hapa kwa CHADEMA wamegonga mwamba na sasa nimeweza kuamini maneno ya BABU yetu aka MWALIMU alipoweza kutoa ya moyoni kuwa HAONI CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI ISPOKUWA CHADEMA TU ndio kitaiburuza FISIEM.
 
Ujerumani wao wenyewe wana migogoro ya kisiasa hadi wamefanya maandamano,halafu wakusaidie wewe chadema?
Hii ni gia ya kwenda kula bata ughaibuni
 
Tuanze na gazeti hivi tangu lini ukaanfika habari ambayo tukio halijatokea, wenye mipango (kama ipo) hawajaiweka wazi na mwisho its not balanced story. Maana hakuna mahali wamethibitisha nikweli wataenda huko ukiposema na hoja yao itakua hayo uliyosema. Ukiangalia kwa jicho la kisheria na kijamii tunaiota huo ni umbea, udaku na unaweza kushitakiwa nao.


Mleta mada nae amekuwa kama gari la taka halichagui uchafu. Ili uheshimike mahali popote na yeyote lazima uweze kufanya rational choices. Ufanye lipi uache lipi, useme lipi usiseme lipi hata kama linakufurahisha au kukuchukiza.
Hapo ndio utaweza kupata heshima kwa mkeo, watoto, wakwe na jamii yote inayokuzunguka.

Kasuku anatabia moja mbaya sana ukitukana tusi kwanza atalitudia lakini kika atakapokuona atarudia lile tusi bila kujali upo na kina nani(mkeo, watoto, wageni, wakwe n.k) hivyo kama ni mgeni atajua kabisa mnazungumzaga matusi hadi Kasuku anatukana. Acha ukasuku
 
Uhuru,jamvi la habari na Tanzanite ni magazeti yenye habari za kuaminika.
 
HABARI HII IWE ni kweli au fake it matters little. The thing is Chadema as party has gone so down that its political agenda come 2020 is oblivion and obliterated by self. Hawa jamaa waliigiza na kuishi kivuli cha CCM ya zamani. JPM ameihamisha CCM kutoka huko, bahati mbaya Chadema &CO, bado wanalilia kuishi katika kivuli chake [CCM] cha zamani. Poor brothers!
 
Sasa wewe mwerevu unayesoma Riwaya za Shigongo.unajua maana ya Riwaya.
Point yako ni ipi?

1. UHURU

2. TANZANITE

3. JAMVI LA HABARI

SIO MAGAZETI YA KUSOMWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU

Na Kama wewe ni mpenzi wa magazeti haya, nakushauri yasomee huko huko usiyapeleke nyumbani maana utawageuza wanao kuwa mapunguani
 
Point yako ni ipi?

1. UHURU

2. TANZANITE

3. JAMVI LA HABARI

SIO MAGAZETI YA KUSOMWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU

Na Kama wewe ni mpenzi wa magazeti haya, nakushauri yasomee huko huko usiyapeleke nyumbani maana utawageuza wanao kuwa mapunguani
Uhuru liliwahi kusomwa hadi na wazazi wako swali ni jee walikuwa timamu?!
 
kweli kabisa mkuu yaani katika vyamavyooote walivoweza FISIEM kuviburuza walifanikiwa ila hapa kwa CHADEMA wamegonga mwamba na sasa nimeweza kuamini maneno ya BABU yetu aka MWALIMU alipoweza kutoa ya moyoni kuwa HAONI CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI ISPOKUWA CHADEMA TU ndio kitaiburuza FISIEM.
CHADEMA ni kiboko ya CCM
 
ndio mwakyembe alisema bungeni hawawezi lifungia hili gazeti kisa wananchi watalalamika, sasa sijui wananchi gani hao, gazeti lina uchochezi sana lini
 
Magazeti ya Uhuru tanzanite na jamvi ni yenye habari za kuaminika sana.
 
Mkuu Mgambilwa ni mntu , with due respect, acha hii tabia ya kutuletea habari kwa njia hii. Kama umenunuliwa scanner ya kutuletea mada zinazokupendeza na kutoka magazeti yanayokupendeza, jua kuwa tupo unaotukwaza. Uwe unaleta hata habari za maendeleo kama uwekezaji na kilimo au hata elimu. Acha kila siku kuleta 'vihabari vya kishabiki'.
Hujalazimishwa kusoma gazeti hili. Kinachokuuma ni nini? Take your time please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 849963
Viongozi Waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wapo katika maandalizi ya kufanya Ziara kabla ya mwishoni mwa mwaka huu 2018 kwenda katika Nchi za Ulaya zikiwemo Ujerumani na Scandinavia, pamoja na Marekani, ikiwemo Bunge la Congress kwa lengo la kuomba msaada dhidi ya masuala ya kisiasa na hali yao dhidi ya Serikali.
Viongozi hao wanakwenda kudai kuwa, wanaonewa, hawana haki dhidi ya Nchi yao, wananchi na wabunge wao. Vilevile, watalalamikia juu ya Ukanda Imani was demokrasia ndani ya Nchi. Aidha, watalalamikia juu ya vitisho na usalama wa uongozi wao, nafasi zao na mwenendo wa uchaguzi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Je, CHADEMA wakienda huko watapata nafasi ya kuongea kwenye Bunge la Congress? Endapo wataipata hiyo nafasi, nini athari zake kwa Siasa za Tanzania hasa kuelekea 2020. Je, Marekani atataka kutulima tena kwenye misaada? Je, unadhani Magufuli anaweza kuogopa ghadhabu za Marekani, Ujerumani na Scandinavia (Norway, Sweden, Finland, Denmark na Iceland)? Je, Norway (Statoil/Equinor) na Nchi nyingine yanakotokea Makampuni ya gesi, wanatuvizia baada ya mwenendo wa kobe katika makubaliano ya kujenga LNG nchini?

View attachment 849962
Hivi mpaka wanapanga kwenda huko waeleze shida zao, kwani nchi hizo hawana ofisi za ubalozi hapa Tz?
 
Lile gazeti lenu la Mbowe ndio lenye habari mnazotaka kuzisikia tu,kwa taarifa mimi huwa nalifungia mihogo ya kukaanga.
 
Back
Top Bottom