Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

Habari nilizozipata usiku huu ni kwamba gazeti mnalolisubiri kwa shauku kubwa liitwalo JAMHURI linalomilikiwa na EL nitaingia mtaani Jumanne hii. Anzeni kupata toleo la kwanza hadi mfikie hatua ya ku-judge kama linampigia debe kweli EL kwa 2015, linampigia debe kwa 2012 CCM chaimanship au kuna jingine nyuma ya pazia. Tahadhari: USINIULIZE SOURCE PLZ
source tunaijuwa... Ni wewe
 
Na bado! We are heading for very interesting times towards 2015! Yetu macho na maskio tu
 
Habari nilizozipata usiku huu ni kwamba gazeti mnalolisubiri kwa shauku kubwa liitwalo JAMHURI linalomilikiwa na EL nitaingia mtaani Jumanne hii. Anzeni kupata toleo la kwanza hadi mfikie hatua ya ku-judge kama linampigia debe kweli EL kwa 2015, linampigia debe kwa 2012 CCM chaimanship au kuna jingine nyuma ya pazia. Tahadhari: USINIULIZE SOURCE PLZ

bibikuku nawe kwa uchokozi!

Kwani na uenyekiti wa CCM Taifa nao utakuwa up for grab hapo mwakani? Nilidhani ule utaratibu wa kumwachia mwenyekiti aendelee mpaka atakapoutema urais bado unaendelea.
 
Mtoa hoja anamaanisha nini kama linampigia debe au la wakati anajichanganya kusema ni gazeti la EL? Nonsense so to speak. Learn and think about how to make meaningful arguement otherwise keep you mouth shut sir or madam.
 
Mkuu, umeshikwa pabaya nii? Naona povu tayari limeanza kukutoka ................!
 
Sioni ajabu EL kumiliki gazeti, au kuanza kampeni mapema (kama ni kweli). By the way, wana-CCM ndio watakaoamua nani awe chairman wao 2012, na watanzania ndio watakaoamua nani awe rais wao 2015 (kama JK hataongezewa muda na katiba mpya). EL akichaguliwa na majority, poa tu, tutafanyaje sasa?
 
Hilo Gazeti ningependa kulisoma, labda naweza kujua kitu kutoka huko,..
 
Gazeti halijatoka mmeshaanza Lowassa.

Mwishoni mtakua na wake zenu huku mkimwaza Lowassa hata usiku. LOL
 
Kujiuliza kama litampigia debe au la ni kuuliza the obvious. Mmiliki ni yeye, wahariri au waandishi ni Manyerere jackton na Deodatus Ballile. Unategemea nini hapo?
 
Back
Top Bottom