Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

Fanya wafanyavo LOWASSA hasafishiki, wadanganyika tumeamka na hatuko tayari kuedelea kudanganywa, hatuko tayari kuona watu wanachukulia advantage ya umaskini wetu kujinufaisha wao, hatuko tayari kuona MWIZI ambae huhitaji uwe na degree kumfahamu kuwa Mwizi anachukua nyumba yetu nyeupe ambayo baba yetu alituambia pale ni sehemu patakatifu.

Lowassa usipoteze pesa, nguvu na muda wako bure, amini ukiwa raisi kwa HILA nchi hii haitotwalika, tutakuwa tayari kuipigania taifa letu kwa gharama yoyote, tutalinda heshimana utu wetu
Wadanganyika wangapi mumeamka? Na hiyo idadi yenu inatosha kumweka rais mumtakaye come 2015? Au unaendelea kudanganyika na idadi ya hapa JF? Na kama tumaini lako ni idadi ya wachangiaji wa hapa jukwaani basi huko sasa kudanganyika kubaya na ni usingizi mbaya zaidi kuliko ule tuliokuwa tumelala awali.Tuingie mitaani,twende humo vijijini kote tukawaamshe watanganyika wenzetu wengine na si kujiridhisha na michango ya wanajukwaa wenzetu hapa.
 
Mara zote nimesema WAPUMBAVU WOTE WANASEMA JAMHURI NI GAZETI LA LOWASSA. Narudi kusema, wapumbavu wote wanasema hivyo, na wanaaminishwa hivyo. Jamhuri ni mali halali ya Manyerere na Balile. Tupo. Njooni mhakikishe. Hivi Tanzania hii vijana hatuwezi kufanya kitu hadi tushikwe mikono na wanasiasa? Tunajua zote hizi ni njama za kutaka kuonyesha kuwa Jamhuri ni gazeti la watu fulani. Tangu mwaka juzi wamesema hivyo, lakini wameshindwa kuthibitisha. JF hakifichwi kitu, tunaomba mwenye ushahidi wowote wa kweli kuhusu umiliki wa Jamhuri, auanike humu ndani. Lakini wapumbavu wanaoeneza hoja hii waache wakomae na ujuha, sisi tunasonga mbele!
 
Mi napenda silogan yao.wanaanzia wengine wanapoishia.Kwa sasa mna wasomaji wengi,
tafadhali ongezeni font size ya maandishi yenu maana ni madogo na yanatuumiza macho.
 
Mara zote nimesema WAPUMBAVU WOTE WANASEMA JAMHURI NI GAZETI LA LOWASSA. Narudi kusema, wapumbavu wote wanasema hivyo, na wanaaminishwa hivyo. Jamhuri ni mali halali ya Manyerere na Balile. Tupo. Njooni mhakikishe. Hivi Tanzania hii vijana hatuwezi kufanya kitu hadi tushikwe mikono na wanasiasa? Tunajua zote hizi ni njama za kutaka kuonyesha kuwa Jamhuri ni gazeti la watu fulani. Tangu mwaka juzi wamesema hivyo, lakini wameshindwa kuthibitisha. JF hakifichwi kitu, tunaomba mwenye ushahidi wowote wa kweli kuhusu umiliki wa Jamhuri, auanike humu ndani. Lakini wapumbavu wanaoeneza hoja hii waache wakomae na ujuha, sisi tunasonga mbele!

Mkuu suala hilo mbona ni la kawaida sana kwa watu kurazimisha kitu hata kama hakina ukweli, kuna watu wamepoteza uwezo wa kufikiri badala yake akili zao zimekaa kisiasa siasa na kila kinachofanyika wanakipokea kisiasa siasa. Kama Lowasa alikua na mpango wa kuanzisha magazeti(sina uhakika kama ni kweli au siyo kweli) haina maana kua kila gazeti linaloanzishwa ni la kwake. Kama mbiu yenu inavyosema kua mnaanzia wengine wanapoishia mkiweka katika matendo mtaleta mabadiliko makubwa katika secta ya habari, haya majungu yasiwakatishe tamaa nadhani wanaoyaeneza uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo ndio maana hawataki kwenda mbali zaidi kufuatilia ukweli.
 
Mara zote nimesema WAPUMBAVU WOTE WANASEMA JAMHURI NI GAZETI LA LOWASSA. Narudi kusema, wapumbavu wote wanasema hivyo, na wanaaminishwa hivyo. Jamhuri ni mali halali ya Manyerere na Balile. Tupo. Njooni mhakikishe. Hivi Tanzania hii vijana hatuwezi kufanya kitu hadi tushikwe mikono na wanasiasa? Tunajua zote hizi ni njama za kutaka kuonyesha kuwa Jamhuri ni gazeti la watu fulani. Tangu mwaka juzi wamesema hivyo, lakini wameshindwa kuthibitisha. JF hakifichwi kitu, tunaomba mwenye ushahidi wowote wa kweli kuhusu umiliki wa Jamhuri, auanike humu ndani. Lakini wapumbavu wanaoeneza hoja hii waache wakomae na ujuha, sisi tunasonga mbele!

ushahidi sio lazima iwe cheque au pay in slip,hata contents zenu zinawaumbua.mnafanya character assasination juu ya maadaui wa Lowasa kisiasa,tofauti yenu ni kuwa mnamtetea Lowasa kisayansi zaidi,sasa wabobeaji tumen'gamua.Swali la kizushi kwa nini mnabagua mafisadi
 
Back
Top Bottom