Gazeti kubwa marekani la WSJ linadai Elon Musk anatumia illegal drugs ikiwemo Magic Mushrooms ili ku-boost ufanyaji kazi wake.

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
Gazeti kubwa marekani la WALLSTREET JOURNAL linadai Elon Musk ameshiriki kwenye matumizi ya madawa yasiyoruhusiwa kama vile LSD, cocaine, ecstasy na psychedelic mushrooms (Magic Mushroom) hasa hasa katika private parties. Matumizi hayo yanahusishwa na yeye kuboost uwezo wake wa kufanya kazi, ikumbukwe elon kwa sasa anaendesha na kusimamia kampuni kubwa 6 zinazofanya mambo yanayotumia teknolojia ya hali ya juu sana.

Hii imekuja baada ya jaji kutengua compensation yake ya dola za kimarekani billion 55 kutoka kampuni ya Tesla.

Unaweza kusoma zaidi hapa.

Ikumbukwe Magic Mushroom au wengine wanavyooenda kuziita Psychedellic mushrooms zimekua bado na debate kubwa duniani kuhusu uhalali wake. Mmea huo umekuwa ukitumiwa kiroho na kiburudani kwenye jamii mbali mbali.

Soma makala yangu kuhusu Magic Mushroom hapa Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?
 
Huyu jamaa nliwah skia serikali ya maerkani inamlinda na haitaki kumpoteza hata iliposemekana anavuta bangi Usa walimuonya sababu anategemewa jamaa wenyewe wanamkubali sana
 
Huyu jamaa nliwah skia serikali ya maerkani inamlinda na haitaki kumpoteza hata iliposemekana anavuta bangi Usa walimuonya sababu anategemewa jamaa wenyewe wanamkubali sana
Ogopa mtu alofikia level akisema Ukraine aipatie internet anaipa, akisema isipate anazima.

Utajiri wake sio kama wa wengine, wake una more direct impact.

Kufika hadi hapo katumia muda sana kujijenga, b4 2018 usingesikia habari za elon musk kwenye media, hata rockets zake zilivyokua zinalipuka haikuwahi kuwa headline, imekuja kuwa sasa. he was building himself in silence. Capitalism iko kuwalinda watu kama hao, na US ndo baba wa Capitalism.
 
Allahu akbar...Allah anazidi kuwaumbua makafiri
Makafiri na wakat 90% ya technolojia mnatumia za makafiri, bila makafiri mngebaki huko majangwan mnatembelea vipedo na kobazi mkitumia ngamia badala ya magari.

Bika makafiri msingestaarabika mngekuwa watu wa hovyo sana.

Huyo Allah hana msaada ktk maisha ya binadamu, zaidi ya ujinga na ubaguzi
 
Hizo Mushrooms zikitua Bongo sijui DCEA atazikamata au ataacha tupate Elon Musk wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom