Gas asilia ni Uchochoro?

uwemba1

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
987
716
Wadau,
Mimi naomba mnisaidie kwanini gas asilia inapatikana Mtwara then tunaingia cost ya kujenga bomba, la gas mpk Dar kuzalisha umeme then tunatandaza waya za umeme hadi Mtwara kupeleka Umeme kwanini tusizalishe Umeme pale Mtwara kwa kujenga mtambo pale then tusambaze mikoa ya kusini na uje mpk Dar kama unahitajika?
Hii itapunguza leakage ya gas, njiani,
Cost za bomba, matunzo na ulinzi wake,
Uharibifu wa miundo mbinu mingine kupisha bomba hiyo
Pia Kwa nini tununue gas from outside Kwa bei mbaya wakati nayo yetu hapa kwa kupikia n.k au haifai? Coz me sijui vema mambo ya Petroleum.


Hii kukuza ajira na upatikanaji wa Umeme Kwa mikoa ya kusini.
Usishangae makaa yakachimbwa Ngaka yasafirishwe Kwa magari mpk Dar kuzalisha umeme, kisha umeme utoke Dar mpk Ngaka kutumika Kwny mgodi.
 
Gas inaletwa DAR si kwa umeme peke yake bali kwa matumizi mengine ya kiwandani pia. Litafika mpaka Arusha na Mwanza hapo baadae
 
ni kama bomba lilotoka Russia hadi ulaya magharibi.....nafikiri matumizi ya nyumbani yatahamaissha zaidi soko ili tusitegemee soko la nje peke yake, viwanda vingi bongo vitatumia gas, majumbani pia etc.
 
Kama sijakosea Lindi na Mtwara hawako na gridi ya taifa!So lazima gas ije dsm ambayo ni commercial hub apart from being used as a source of electricity some other gas uses are high in DSM hasa viwandani.
Ingawa ni vyema tukawa decentralize na sio kila kitu DSM.
 
Back
Top Bottom