Gari ya abiria 32 inauzwa

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
Basi lenye viti 32 inauzwa milioni 16 na ipo ktk hali nzuri na mashine ipo bomba.Naiuza kwasababu sipo mwenyewe kuisimamia hivo ni nzuri kwa dalala au shule.Vipuli vinapatikana bila ya wasiwasi.
Mercedes benz,Engine 4lt Automatic lakini sijui imetembea kilomita ngapi naomba uwasiliane na Habibu 0717810318 kama utapenda kuiona ipo maeneo ya Magomeni.Tokea imeingia nchini ni mwaka sasa na inafanya kazi ya shule.
P1000200.JPG P1000199.JPG P1000197.JPG P1000204.JPG
 
Eeehh...!! Kazi ya shule while is painted Mbagala ~ Mwenge, sema ilikuwa inabeba abiria, business means transparency kwa sana....

Basi lenye viti 32 inauzwa milioni 16 na ipo ktk hali nzuri na mashine ipo bomba.Naiuza kwasababu sipo mwenyewe kuisimamia hivo ni nzuri kwa dalala au shule.Vipuli vinapatikana bila ya wasiwasi.
Mercedes benz,Engine 4lt Automatic lakini sijui imetembea kilomita ngapi naomba uwasiliane na Habibu 0717810318 kama utapenda kuiona ipo maeneo ya Magomeni.Tokea imeingia nchini ni mwaka sasa na inafanya kazi ya shule.
View attachment 49801View attachment 49802View attachment 49803View attachment 49804
 
Pilot....Biashara ya gari unaweza ukaigeuza vile unavotaka kwani kuandikwa sio tatizo.Ni kweli imefanya kazi ya daladala lakini nikaibadilisha na kuifanyia kazi ya shule sasa tatizo lipo wapi?Yeyote atakae nunua anaweza kuendelea na daladala au shule hata anaweza akabadilisha na ikafanya daladala lakini njia tofauti.
 
Back
Top Bottom