Gari linauzwa tshs 4,000,000.00

Nimecheka mpaka kufa.Jamani hili gari kweli wanaosemea maneno mabaya hivyo wao wanayo?
Yeye kasema anauza na bei+picha kaweka,kumbe bora asingeweka picha wala bei, na huko saa hizi bila shaka wako kibao wanaoomba wapunguziwe bei.
Hayo matusi kuwa lazima uzoeleke kwa mafundi bubu,haliuziki,uza parts,umri wa mpiga kura etc yanatoka wapi?Waswazi tuna kazi kweli.
 
Nmependa sna waliosema kuwa utakuwa rafiki wa mafundi, duh mana hata mimi nliwahi jenga nao urafiki pindi
nliponunua mkweche kama huo, baadaye nkaona bora kutokuwa na gari kuliko kuwa na mkweche. So my opinoin wew uza spea zake tu. Afu jiulize wew muuzaji unaweza linunua kama hilo ukikuta mtu analiuza?
 
Nimecheka mpaka kufa.Jamani hili gari kweli wanaosemea maneno mabaya hivyo wao wanayo?
Yeye kasema anauza na bei+picha kaweka,kumbe bora asingeweka picha wala bei, na huko saa hizi bila shaka wako kibao wanaoomba wapunguziwe bei.
Hayo matusi kuwa lazima uzoeleke kwa mafundi bubu,haliuziki,uza parts,umri wa mpiga kura etc yanatoka wapi?Waswazi tuna kazi kweli.
Wavumulie! Unajua wengi wanatumia majina bandia ndio sbb hawajuani, wangekua wanajuana tungeambiwa nani analo na nani hana. Ukute wakandiaji wengi hawana hata bodaboda, achilia mbali carina kama hiyo pichani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom