Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari linauzwa tshs 4,000,000.00

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Wilbert1974, Jun 11, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,591
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  DSC09798.JPG
  Kwa anayependa tuwasiliane...
  [FONT=&quot] Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive, automatic, 4 doors, power windows, engine 1.6cc, fuel Petrol, New tyres, valid registrations etc.[/FONT]
  [FONT=&quot]LINATEMBEA…[/FONT]
  [FONT=&quot] Maelezo zaidi wasiliana na 0754489001 au 0658489001[/FONT]
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,942
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mmmh, hapo urafiki na mafundi lazima
   
 3. mwanawao

  mwanawao JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 1,594
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Badili avatar yako kwanza,,, maana naona kama unatania watu vile..
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,492
  Likes Received: 509
  Trophy Points: 280
  mafundi watakuzoea sana tu
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,768
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  inatembea....?mbona hujataja specifications zake...
   
 6. angedizzle

  angedizzle JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  chezo hili..............
   
 7. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa kama haitembei itakuwa gari mkweche :becky:
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,052
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  " Hivi ni nani anayewauzia wasanii magari? Maana wanatumia mda mwingi gereji kuliko barabarani"---Fidq
   
 9. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo baada ya muda na wewe mwenyewe lazima ujue ufundi maana kila kukiacha utakua unajifunza ufundi wa kitu kipya.
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,879
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama ni kwa lengo la kutaka lifie mlangoni kwako ili watu wawe wanaona kuwa wakati fulani nawe ulikuwa na gari, linafaa sana.
   
 11. M

  MTK JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 5,847
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  umri wa mpiga kura 2015, nakupa offer ya 1m; nikaliscrup
   
 12. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,593
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Je ilishagogwa au kupigwa rangi na kwanini unauza?

  Nikipata hayo majibu nitakutafuta.
   
 13. s

  sawabho JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,121
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Mkuu naunga mkono hoja yako: Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive. Ina maana ni gari ya mwaka 1990 ? na sasa 2012. Kwa mantiki hiyo, 2012 - 1990 = miaka 22. Miaka minne zaidi ya umri wa mtu mzima !!! Ukinunua hilo, utakuwa umenunua umasikini - pesa kuishishia kwa mafundi; na ugomvi na Bosi wako maana utakuwa unachlewa kufika kazini.
   
 14. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoto aliyezaliwa wakati hiyo gari inatoka sasa ana miaka 22, yaani anaweza kuwa na mtoto pia. Hiyo nashauri uiweke home kwa ajili ya kumbukumbu au iwe nyumba ya paka. Bila utani imechoka.
   
 15. J

  JO MAIKO Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu vipi bodi yake ishapata misukosuko ya kugongwa.Ilisha wahi kula mkenge hata mara 1.
   
 16. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,981
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hii ungepeleka machimboni mererani fasta unapata soko
  lakini kwa mjini sidhani litakuozea
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,983
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu 2.5m unapokea?
  Maana lazima nijenge undugu na mafundi bubu
   
 18. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2013
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,591
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Halijawahi gongwa; ila lipinduka lenyewe 2006 baada ya kuburst tairi ilibidi kupakwa rangi na kuweka kioo kingine cha mbele hapo ilikuwa kama mwezi mmoja tangu kununuliwa...
  Tunauza sababu limetuchosha na hatuna sababu ya kuwa na gari zaidi ya moja kwa sasa!
  Lilikuwa linafanya kazi ya tax sasa hailipi...
   
 19. wajingawatu

  wajingawatu JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2013
  Joined: Jan 20, 2013
  Messages: 889
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama mpaka leo hujapata mnunuzi, ina maana haiuziki. Ila nina wazo moja: anza kuliuza kama chanzo cha vipuri. Mfano mimi nahitaji hiyo stabilizer rods, tires, engine mounts, mikono, usukani, etc kama upo tayari ni PM.
   
 20. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2013
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 6,542
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Wengine tuna ugonjwa wa moyo jamani
   
Loading...