Car4Sale Gari inauzwa GDI hiyo Ina injini ya 3S bei 4.5 M

laurentie

Senior Member
Feb 24, 2012
100
76
Habari wadau wa magari nauza gari yangu mistubishi GDI ina engine ya noah 3s.

Gari ipo safi safari popote inakula 1ltr per 12 km high way mjini inakula 1ltr per 10km
Test drive onaruhusiwa

Gari ipo Arusha mawasiliano 0782719980 or 0712206032

IMG-20220424-WA0014.jpg
IMG-20220424-WA0001.jpg
IMG-20220424-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom