Gari GX 110 INAUZWA saaaafi 11M (maelewano)

Davie S.M

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
748
228
Nauza Gx110,ipo safi haina shida,inatembea full option..ODO 160,000kms,Nyeupe,Alloys Rims,
Reasons ya Kuuza; Ipo Dodoma,nimehamishiwa Dar Nimepatiwa Gari Nyingine.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Forum nyingi zinazohusu magari hapa ulaya zinashauri usinunue gari iliyotumika zaidi ya km 150,000
we huoni kwa bei hiyo unakuwa unawauzia watu body?....
 
IMG-20120913-WA000.jpg IMG-20120913-WA000.jpg
 
Forum nyingi zinazohusu magari hapa ulaya zinashauri usinunue gari iliyotumika zaidi ya km 150,000
we huoni kwa bei hiyo unakuwa unawauzia watu body?....

Hii gari ipo depreciated kutokana na matumiz ya hapa,imenunuliwa ikiwa used,Lumumba pale wanarudisha kms nyuma,sihitaj fanya ivo...sasa ukitaka tufate recommendation za 0kms za Ulaya hatuwez ku afforD,besides bado napokea offer...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Forum nyingi zinazohusu magari hapa ulaya zinashauri usinunue gari iliyotumika zaidi ya km 150,000
we huoni kwa bei hiyo unakuwa unawauzia watu body?....

mmnaojifanya wajuaji wa mambo ndo hua mnalizwa mbaya, aya bwana wa "hapa ulaya"
 
kama inawezekana tupostie picha za ndani ya gari tuone mbele na siti pia...isije kuwa UZURI WA UKAKAZI...Halafu mbona kama ni gx 100 (CRESTSA) ...weka picha za upande wa nyuma...
 
mmnaojifanya wajuaji wa mambo ndo hua mnalizwa mbaya, aya bwana wa "hapa ulaya"

pole sana,ukikua utaona kuwa ulaya ni sehemu ya kawaida tu kama arusha au tanga...usiumie sana ukiona/sikia mtu yupo ulaya......bahati mbaya mi sio mjuaji bali napenda kujifunza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom