Garden love. . . . !!

Hilo neno linapotamkwa linajulikana kabisa linahusu nini,lakini wengi huhisi inamhusu zaidi mwanaume.Lakini kuna wanawake nao wana garden bana.Kuna mmoja nilimfuma akifanya mazoezi uwanjani,duh nilikodo kisha nikaendelea na 50 zangu,lakini zaidi vidume waliowalamba hawa wanawake wenye hii kitu wanasema ni watam(huu msemo amenifundisha gfsonwin) na wana joto.Haya vidume hebu fungukeni mtujuze. . . . . . . Yana ukweli haya?

Utamu wa Pipi ni mate yako. Aidha, utamaliza mabucha ilihali nyama ni nyama, tofauti mapishi.
 
Mimi siwajui hao watu, labda nikimwotea japo mmoja nitaleta feedback hapa jamvini. Maana naona wengi wanazunguka tu...
 
Ninawafahamu wawili ambao ni majirani zangu........
Wote wana matatizo ya kuwa na uhusiano na wanaume usio imara.......
Mmoja uhusiano wake na mumewe unalegalega na wanaishi kwa mazaoea tu lakini kila mtu ana-cheat kwa muda wake na mwingine anabadilisha wanaume kila mara hakai na mwanaume mmoja kwa muda mrefu................

Babu naenda kukusemea kwa bibi ulijuaje kama wana garden love.
 
Hili ni tatizo la kiafya yafaa kuwahurumia na kuwashauri nini cha kufanya badala ya wengine eti kufurahia.Mara nyingi huwa linatokana na medical disorder inayoitwa Polycystic ovarian syndrome(PCOS) ambapo hawa kina mama huwa wanapata matatizo ya ugumba(infertility),matatizo ya hedhi (menstral disorders) ambapo mara nyingi hukosa siku zao kwa muda hata zaidi ya miezi sita(AMENORRHEA),na pia wanakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata uvimbe kwenye tumbo la uzazi(Fibroids). Wengi wao huwa hawana watoto na ni wanene sana! Matibabu yapo na wakipewa dawa hedhi zao hurudi kama kawaida na wanaweza kupata watoto! NB sio wote huwa na haya matatizo! kwahiyo nashauri waende kwa watalaamu wa magonjwa ya wanawake(gynacologists) kwa matibabu mazuri! For more information,nenda google andika PCOS.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom