Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

IMG_2795.png
Plus iMessage games😂
 
2020 ama 21 hivi nikicheza Summertime saga.. Game ilikuwa inaishia kati ina addiction, nikaiacha.

Nilicheza first touch yenyewe kabisa game ilikuwa tamu saana ile DLS cha mtoto.
Sijawahi kuipata tena.

Siku hizi sichezi game, ikitokea ni mara 1 moja saana.

Samsung kitochi walikuwa na game ya namba niliipenda sana
 
Back
Top Bottom