sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
kwa wale wapenzi wa games..leo ningependa tushirikishane juu ya online games, kwa upande wangu mimi ni mpenzi mkubwa sana wa hizi games kama CITY VILLE NA EMPIRE AND ALIES (za kwenye facebook) pia racing kama porsche na zinginezo, ningependa kujua kwa wengine inakuaje juu ya game hizi, unafkiri ni game gani zaidi ni nzuri online? lwa upande wangu mi naikubali sana cityville kwani ni kama real time gaming..unashirikiana na watu wengi online na wakati mwengine kuwa adui zako kwenye empire and alies...its fun!