Games hazifutiki

dogo sanja

New Member
Nov 8, 2011
4
0
Hi!Wana jf,simu yangu aina ya nokia 3230 hai delete games,haina options za kudelete,naombeni msaada wakuu,pia streaming settings za hii simu
 
Mkuu nadhani kuna zile applications zinakuja na simu zikiwemo games huwa hazina option ya kuzidelete labda zile ulizo install wewe lakini sio zile zilizokuja na simu toka kiwandani
 
hapana mkuu,hata games nilizodownload hazifutiki,hamna hiyo option

Simu yako ni symbian s60v1 hazina oprtiona ya delete kama unavofkiri wewe ila kuna option 2 za kudelete

kwanza navigate hadi uipate hio application bonyeza option then remove

Ukishindwa hivo nenda application manager utaona list ya games na application we delete unayoitaka
 
Back
Top Bottom