Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Taja game yako ujuane na wenzako wanaocheza.

Hizi ni game zangu kwenye simu na hizi level zangu:

8 Ball Pool, veteran level 59.
Toon Blast!/chest level 2280
Candy Crush Saga
Subway Surfers
Princess Surfer
Jewel fever, level 759
 
Screenshot_20191015-174905.png

Nimekwama hapo
 
Back
Top Bottom