Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Taja game yako ujuane na wenzako wanaocheza.

Hizi ni game zangu kwenye simu na hizi level zangu:

8 Ball Pool, veteran level 59.
Toon Blast!/chest level 2280
Candy Crush Saga
Subway Surfers
Princess Surfer
Tanzania ya viwanda inawezekana..
 
Ndiyo naanza
Screenshot_20191017-110819_Aquaparkio.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20191017-105950_Aquaparkio.jpg
    Screenshot_20191017-105950_Aquaparkio.jpg
    128.3 KB · Views: 2
Taja game yako ujuane na wenzako wanaocheza.

Hizi ni game zangu kwenye simu na hizi level zangu:

8 Ball Pool, veteran level 59.
Toon Blast!/chest level 2280
Candy Crush Saga
Subway Surfers
Princess Surfer
Candy crush level gani nipo 1219, 8 ball 58
 
Vigame vyote hapa ni vile wanachezaga watoto wa kike...sijaona dls,ftg,pes,fifa n.k
 
Hivi hakuna hata mmoja anaecheza mafia city humu? Kila mtu anacheza candy crush hadi wakina kaka wenzangu!!
 
Back
Top Bottom