Fursa kwenye kilimo cha nyoka, karibuni

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
KILIMO CHA NYOKA

Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndio suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho.

Kwa mujibu wa hisabu za calculeter yng ya cm, hebu fikiria uwe na Cobra kumi, Cobra mmoja anataga Mayai 60 kwa mwezi na anatotoa.

Ukichukua 60 mara kumi ni 600.
Ukizidisha 600 mara miezi 12= 7200. Kwa hiyo kwa mwaka unakua na Cobra 7200 na Cobra mmoja anatoa Gram 10 za sumu kwa siku.

Sasa inakuwa ni 7200x 10= 72000 sasa Gramu 72000 mara Tsh 1880 ni sawa sawa= Tsh135,360,000.
Hiii zidisha mara miezi 10 tuu (ili hesabu iwe rahisi) itakua Tsh 135,360,000x10= Tsh 1,353,600,000.

Maanayake kwa mwaka 1 kwa Kilimo Cha Cobra tuu unakua na Bilioni 1.4.
Sasa hapo toa gharama ya panya wa kuliwa na Cobra plus usafi hivii ambayo ni kama Mil.100 maana Panya nao unawafuga tuu na unawalisha pumba na wayawaya. Basi sasa kwa mwaka mmoja faida yako ni Bilioni moja na kitu kwa mtaji wa Cobra 10 tu.
 
Kuna jama alindanganya hivyo na motivational speaker mwishowe wali mtelekeza, manyoka ya makua shida yamekua mengi kijiji kinamfukuza yeye na nyoka zake.......
 
Hii kali, nyoka wanalimwa kwani wamekuwa mimea, kwa nini isiwe wanafugwa? Duh! Sijui ni kiswahili cha wapi hiki
 
Waoneeni huruma watanzania wanapigwa kwenye makampuni ya kuuza viwanja, kwenye online business,kwa motivation speaker nk Leo vanilla hata elf 3 haifiki kwa kilo mliwaambia milion kwa kilo.
Nyoka watu walifuga wakawatelekeza maporini naona mmrudi Tena, parachichi nazo hazina soko Tena badala ya kilo mnanunua kwa ndoo kwa Bei ya kilo.
 
😂😂😂😂😂.

Ajira zikikosa matatizo huzaliwa, ila haya yote ni mapito tu...😂😂😂..

Ok fanya hivi unayafuga mengi halafu unatafuta sehemu yenye watu wengi mfano bungeni unayamwaga humo yanawang'ata halafu unatangaza kuwa una antidote.

utapiga pesa balaa, shida ni jinsi ya kuyapeleka huko.😂😂😂
 
KILIMO CHA NYOKA

Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndio suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho.

Kwa mujibu wa hisabu za calculeter yng ya cm, hebu fikiria uwe na Cobra kumi, Cobra mmoja anataga Mayai 60 kwa mwezi na anatotoa.

Ukichukua 60 mara kumi ni 600.
Ukizidisha 600 mara miezi 12= 7200. Kwa hiyo kwa mwaka unakua na Cobra 7200 na Cobra mmoja anatoa Gram 10 za sumu kwa siku.

Sasa inakuwa ni 7200x 10= 72000 sasa Gramu 72000 mara Tsh 1880 ni sawa sawa= Tsh135,360,000.
Hiii zidisha mara miezi 10 tuu (ili hesabu iwe rahisi) itakua Tsh 135,360,000x10= Tsh 1,353,600,000.

Maanayake kwa mwaka 1 kwa Kilimo Cha Cobra tuu unakua na Bilioni 1.4.
Sasa hapo toa gharama ya panya wa kuliwa na Cobra plus usafi hivii ambayo ni kama Mil.100 maana Panya nao unawafuga tuu na unawalisha pumba na wayawaya. Basi sasa kwa mwaka mmoja faida yako ni Bilioni moja na kitu kwa mtaji wa Cobra 10 tu.
We umefuga? Uliwapataje pataje?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom