Furahia Internet Bila Modem

Genius one

Senior Member
Jul 11, 2015
134
69
Je unayo Laptop,Tablet Pc,or Smartphone au vyote? Je unajua ukiwa na smartphone au tablet/Phablet huhitaji tena kununua modem ? Ndiyo,inawezekana.

Leo nitaeleza jinsi unavyoweza kufarahia internet kwenye PC yako,au vifaa vingine tajwa hapo juu bila kutumia modem au waya wowote .

HOW?
It is very simple just follow these steps:
1.Chukua smartphone yako au tablet/phablet then nenda kwenye "settings","Click "More..."

2.Click "Tethering and portable hotspot" then W-ifi -hotspot utaiona sehemu ya kuweka password yako.

3.Weka password yako au tumia iliyopo kwenye kifaa chako.Ukitaka kujua password ya kifaa chako tick/check kwenye kibox chenye maneno haya "Show Password"

4.Weka ON hapo kwenye 'Wifi-hotspot' then ENJOY!

NOTE:-Hapa unaweza kuunganisha devices/users hadi 5 au zaidi just click Wi-FI then ON.
-Kama Unatumia Laptop hakikisha umeinstall Wifi-hotspot kwanza, it's FREE!

Say byee.. to Modems!

ENJOY!

Genius One

Kuna njia nyingi za kushukuru, yeye ameamua kushukuru kwa njia hiyo.Tatizo liko wapi,kosa lake liko wapi? Au unataka kila mmoja awe kama wewe? Learn to respect people.Peace!
I don't disrespect unknown people like you. I think, either your stupidity or your dirt mind made you to think so.

I'm sorry. I meant different from what you understood
 
Mb zinatumika au?

Ndiyo,MB zinatumika .Kwa mfano ukinunua kifurushi cha internet kwenye simu yako au tablet waweza kuunganisha simu/laptop/tablet ya mke/mme wako,rafiki zako,wafanyakzi wenzako au vifaa vyako mwenyewe,mpaka vitano au zaidi kwa kutumia source ya internet moja(bundle moja)
 
Ahsante Sana
 
I don't disrespect unknown people like you. I think, either your stupidity or your dirt mind made you to think so.

I'm sorry. I meant different from what you understood

I don't disrespect unknown people like you. I think, either your stupidity or your dirt mind made you to think so.

I'm sorry. I meant different from what you understood

Please don't hijack our eye opening thread with your filth language.This thread is not your size and is not even your type.Go to the threads of your size & type. Byeeee!
 
Friends, let us use the social networks & forums wisely. If you can't add value to people's lives- better shut up. Kama huna cha kuchangia au kuelimisha wengine kaa kimya.Kama wewe unajua kitu saidia wengine.Hawa wengine tuwasamehe bure."Some people are wise and others are OTHERWISE." Let us sticky to our thread.
 
Kutumia wifi-hotspot from laptop to phones, thats new to me, big up Genius japo title yako imekaa kama intaneti ya bure bila kununua bundle.
 
Watu wengi wanafahamu kuconnect PC kwenye internet kwa kutumia Wi-fi hotspot ya smartphone au USB tethering. Unaweka bundle ktk smartphone then unaiwezesha simu yako kutoa wi-fi ambayo wataweza connect watu wengine au vifaa vingine kama simu au laptop max 10 devices.

Kitu ambacho watu wengi hatufahamu ni jinsi ya kuifanya laptop yako kuwa Wi-fi hotspot.
Mfano una moderm yenye bundle na unataka uitumie bundle ya moderm hiyo ktk smartphone yako, waweza fanya hvyo. Unachomeka moderm kwenye laptop yako unaconnect kama kawaida. Baada ya hapo kuna code za kutype ambazo zitaifanya laptop yako kutoa wi-fi network ambapo laptop/smartphone zingne zitaweza kuconnect na kutumia internet kutoka ktk moderm hiyo. Lakini pia kuna wengine wanakuwa maofisini ambapo kuna network cable za kuchomeka ktk PC/laptop lakin ofisin hapo hakuna wi-fi. Pia waweza connect cable yako ktk laptop then ukatype code za kuifanya laptop yako iwe Wi-fi device na ukaweza connect smartphone yako ukatumia internet ambayo source yake ni from network cable au usd moderm.

Kuzijua code na maelezo mengineyo soma hapa

How to Turn Your Windows 8 or 10 Laptop into a Wireless Access Point
 
Je unayo Laptop,Tablet Pc,or Smartphone au vyote? Je unajua ukiwa na smartphone au tablet/Phablet huhitaji tena kununua modem ? Ndiyo,inawezekana.

Leo nitaeleza jinsi unavyoweza kufarahia internet kwenye PC yako,au vifaa vingine tajwa hapo juu bila kutumia modem au waya wowote .

HOW?
It is very simple just follow these steps:
1.Chukua smartphone yako au tablet/phablet then nenda kwenye "settings","Click "More..."

2.Click "Tethering and portable hotspot" then W-ifi -hotspot utaiona sehemu ya kuweka password yako.

3.Weka password yako au tumia iliyopo kwenye kifaa chako.Ukitaka kujua password ya kifaa chako tick/check kwenye kibox chenye maneno haya "Show Password"

4.Weka ON hapo kwenye 'Wifi-hotspot' then ENJOY!

NOTE:-Hapa unaweza kuunganisha devices/users hadi 5 au zaidi just click Wi-FI then ON.
-Kama Unatumia Laptop hakikisha umeinstall Wifi-hotspot kwanza, it's FREE!

Say byee.. to Modems!

ENJOY!

Genius One

BRAZA HILO TU UNAJIITA GENIUS DUUH HIYO MBONA KILA MTU ANAJUA TOKA SMARTPHONE ZILIPOKUJA...!!
 
Back
Top Bottom