Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,152
- 159,076
Wanatofautiana sanaaaa.Hahaha, kwa nini Vale, kwani si wote wasukuma lakini...lol
Wanatofautiana sanaaaa.Hahaha, kwa nini Vale, kwani si wote wasukuma lakini...lol
Kama hujashindikana hebu twende kanisaniMi nimeshindikana?
.
Na mimi nampenda sana huyo SALTmkuu ushawai kukutana na shemale live akiwa uch...... wewe alafu anataka umkaze wewe
Ee sawa baba kweli maandiko yanakujua sana,hivyo hivyo tutafika tu mdogo mdogo....
Kwakweli... Hapa nimepata mwenzanguTeh!, maandiko yanamjua haswa, si kwa mistari hiyo..
Hahahaaaaa!!
Acha aende tu, mie hapana, nimekolea kuleeeee.
Thubutuuu!! Nilipafurahia mara moja tu, wengine nehiii, ngoja niende kule kwingine nikajifaidie. Huko sikutakiii.Sukumaland ndo yenyewe bhana, kwingine kote cha mtoto. We zunguka tu utarudi menyewee!
Thubutuuu!! Nilipafurahia mara moja tu, wengine nehiii, ngoja niende kule kwingine nikajifaidie. Huko sikutakiii.
Huko sirudi aiseee, vimeo wengiHaya bana, ukiwa tayari kurudi nishtue, I'll be happy to be mshenga.
PlayboyWabawake wengi wa Jf wanaishi kwenye majiji makubwa kama dar, arusha nk... Sasa sisi tunaoishi nanjilinji hata tukisema tunawapenda itakuwa ni kazi buree