Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Whaat?,...hahah, afadhali umekimbia. Nikikamata masinki yanakuhusu...lol

Si kwa kaka zangu atoto, humuoni Valentina anavyotaka kuhamia kwenye Li Victoria na kuachana na Li Kilimanjaro!
Hahahaaaaa!!
Acha aende tu, mie hapana, nimekolea kuleeeee.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Sukumaland ndo yenyewe bhana, kwingine kote cha mtoto. We zunguka tu utarudi menyewee!
Thubutuuu!! Nilipafurahia mara moja tu, wengine nehiii, ngoja niende kule kwingine nikajifaidie. Huko sikutakiii.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Thubutuuu!! Nilipafurahia mara moja tu, wengine nehiii, ngoja niende kule kwingine nikajifaidie. Huko sikutakiii.

Haya bana, ukiwa tayari kurudi nishtue, I'll be happy to be mshenga. :D
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom