Fundi rangi & design

Nzuri sana , zina life span ya muda gani? Zinataka maandalizi gani pale ukutani kabla ya zenyewe kubandikwa?
Mana nimeona sehemu ,jamaa alipomaliza kujenga tu ukuta wake kapiga tiles mmoja matata sana na imependeza balaa , hajaingia gharama ya lipu, plasta wala upuuzi mwingine .
Hii inatkiwa kuta iwe imefanyiwa skiming
 
PRESTIGE LIQUID WALLPAPER Ni marioo mazur kwa ajili ya kupendezesha nyumba yako, office Au saloon,

Mfuko mmoja wa PRESTIGE LIQUID WALLPAPER una- over area ya sqm8

Mfuko mmoja wa PRESTIGE LIQUID WALLPAPER Ni sh 65,000

Tunapatkana k/koo (Swahili Street)

Tupgie 0656 535646

IMG_20210808_081659.jpg
 
KARIBU TUKUFANYIE SKIMMING BORA KABISA !!

TUNAPATIKANA DAR-ES-SALAAM (TUNAFANYA KAZ MKOA WOWOTE

HII APA NI KAZ YETU TULIOIFANYA MKOA WA RUVUMA_MBINGA

TUNAPATIKANA KWA NAMBA

0656 535646

DSC_0183.JPG
DSC_0182.JPG
DSC_0146.JPG

DSC_0146.JPG
 
Kutana na mafundi wabobezi katika kazi hizi

Tunafanya, skiming, drewa, cornmixer, pamba na dizain nyinginezo

Fanya kazi nasi upate kilicho bora

Tunafanya kazi popote pale

Hizi apa baadhi ya kazi zetu

Tupigie /whatsapp 0656 535646


DSC_0022.JPG
 
Back
Top Bottom