fumanizi

tobycow

Senior Member
Apr 12, 2011
129
13
kuna jamaa mmoja alimfumania mpenziwe akigawa kibwenye kwa hasira akaanza kucheka.hv ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Ningemsubiri amalize kisha namwambia luv, pole kwa kazi twende home.
 
Bora huyo kacheka wengine wanalia mpaka mtu anpokeza fahamu! Mapenzi c lelemama!
 
Ha, afadhali ya huyo. Mpemba kamfumania mkewe mara kadhaa,
akaona isiwe shida, dawa ya moto ni moto, yeye akaamua kugawa
masaburi mtaa mzima...
 
Back
Top Bottom